Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

Kwani zile buku saba ulizopewa Lumumba huwezi kununua bundle ?
Bado upo kwenye upimbi wa buku saba? Wakati wa kampeni tuliwaambia pambaneni kutafuta wanachama mkawa mnaleta hoja zisizo na mashiko, watu wakijaa kwenye kampeni za ccm mnasema wamefuata wasanii, tukija kuwapa nondo hapa jf mkasema tunalipwa buku saba..... mwisho wa siku uchaguzi umeisha mmeangukia pua .
 
unajitahidi kuunda uongo kufanana na ukweli..sasa tutumie visima vya chidengwa, nkasi kusini na vijiji vyote 2100 ambavyo maji yamefika.

Ni kweli Tunaviona hapa hivyo vijiji 2100 maji yamefika na watu ndio hawa wanachota

1604308870508.png
 
Bado upo kwenye upimbi wa buku saba? Wakati wa kampeni tuliwaambia pambaneni kutafuta wanachama mkawa mnaleta hoja zisizo na mashiko, watu wakijaa kwenye kampeni za ccm mnasema wamefuata wasanii, tukija kuwapa nondo hapa jf mkasema tunalipwa buku saba..... mwisho wa siku uchaguzi umeisha mmeangukia pua .

Jibu swali unaloulizwa

Zile buku saba ulizopewa unashindwa kununua bundle ??
 
Mimi maandamano nayaunga mkono ila ugumu unakuja kutekeleza. Nikikamatwa kibarua changu kitaota nyasi hivyo kuacha familia yangu pasipoeleweka.
Ila nasisitiza likitokea jambo la kuitosa nchi, nitalitekeleza. kwasababu huu wizi wakura ni jinai.
Hatuwezi kuwaamini walioibakura, kodi zetu ziko hatarini kuporwa na kuendelea kufanya vitu vya binafsi badala ya ya manufaa ya watu.
 
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.

Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.

Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.

Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.

Hahahaha nyepesi kushindwa ubunge kunamchanganya sana, si tuliwaambia mapimbi nyie muache kudhrau system, nyie mkajitia pamba masikioni, na bado, lazima wananchi wawashughulikie na maandamano yenu ya kijinga
 
Wananchi hawataki kutumika na vibaraka wa mabeberu kuivuruga nchi yao Mama Tanzania wanayoipenda sana
 
Vip Jaman Kuna Maandamano Leo Kama Ahadi Ilivyokuwa? Mimi Nipo Pori Kwa Pori Kwenye Shughuli Zangu Binafsi
 
Sijui umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba mimi ni kapuku,
Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!

Huyo Zitto alikua akifanyia consultancy wizara ya fedha/Hazina ya nchi fulani hpa EA alikua analipwa $200 kwa cku moja!!

Hiyo inalingana na posho ya bunge? Mind you mali zake alizodisclose zina fikia net worth ya 2B plus!! Ikiwemo kumiliki vitalu vya gesi. Afu unadhani ategemee posho ya bungeni?

Pambana na maisha usaidie ukoo wako unaoteseka na umaskini huko maporini. Leo hii huyo Zitto hta akienda CCM atapokelewa kishujaa na kupewa hta u RC hku ww ukibaki kupovuka mitandaoni tu.

Narudia tena, black mentality na inferiority complex haitokufikisha popote.
 
Back
Top Bottom