Huyo Zitto mwenye pesa mbona husemi kama alitoa ahadi 2015 kwamba akishinda ubunge na kupata Meya wa mji kupitia ACT atawalipia ada wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda A-level ndani ya shule za mkoa wa Kigoma, lakin hakutimiza ivo?? Sasa ajue hilo ni moja kati ya yalimpotezea ubunge, pia hakupata wanachama wapya zaidi ya kupoteza wapigakura wake.
Sisi wananchi wa Kigoma tunamisimamo yetu hata mbunge apendwe vp asipotimiza ahadi zake alizoahidi kwa mapenzi yake off he go. Apumzike tuone huyu Kirumbe (incoming) atafanya nn.
Sent from my Infinix X5515 using
JamiiForums mobile app