Bado upo kwenye upimbi wa buku saba? Wakati wa kampeni tuliwaambia pambaneni kutafuta wanachama mkawa mnaleta hoja zisizo na mashiko, watu wakijaa kwenye kampeni za ccm mnasema wamefuata wasanii, tukija kuwapa nondo hapa jf mkasema tunalipwa buku saba..... mwisho wa siku uchaguzi umeisha mmeangukia pua .Kwani zile buku saba ulizopewa Lumumba huwezi kununua bundle ?
unajitahidi kuunda uongo kufanana na ukweli..sasa tutumie visima vya chidengwa, nkasi kusini na vijiji vyote 2100 ambavyo maji yamefika.
Bado upo kwenye upimbi wa buku saba? Wakati wa kampeni tuliwaambia pambaneni kutafuta wanachama mkawa mnaleta hoja zisizo na mashiko, watu wakijaa kwenye kampeni za ccm mnasema wamefuata wasanii, tukija kuwapa nondo hapa jf mkasema tunalipwa buku saba..... mwisho wa siku uchaguzi umeisha mmeangukia pua .
Naona umeshaanza kuwewesekaJibu swali unaloulizwa
Zile buku saba ulizopewa unashindwa kununua bundle ??
Kwani kila anayevaa mask ni kwasababu ya kuzuia Corona?Hivi corona ipo nchi hii? Mask za nini?
Wewe ambaye hujaweweseka jibu swaliNaona umeshaanza kuweweseka
Lazima kuwe na tofauti kati yetu ndugu mfuasi. Wewe unaweweseka.Wewe ambaye hujaweweseka jibu swali
Zile buku saba umezipeleka wapi hata ushindwe kununua bundle ??
Lazima kuwe na tofauti kati yetu ndugu mfuasi. Wewe unaweweseka.
Hizi picha za mwaka 47 bado unazo hadi leo???Hakuna cha propaganda tunawasikia wanavyoongea mitaani.Kiswahili na maneno ya kifaransa
View attachment 1617783
Aiseh mimi naona MITANO TENA ya Mzee Baba imetimia.Ni kweli Tunaviona hapa hivyo vijiji 2100 maji yamefika na watu ndio hawa wanachota
View attachment 1617796
Hahahaha nyepesi kushindwa ubunge kunamchanganya sana, si tuliwaambia mapimbi nyie muache kudhrau system, nyie mkajitia pamba masikioni, na bado, lazima wananchi wawashughulikie na maandamano yenu ya kijingaCHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia Buguruni Sheli kuchukua barabara ya Uhuru mpaka Kariakoo, Msimbazi Road mpaka fire, Morogoro road, Bibi Titi mpaka Ofisi za Tume.
Kundi lingine litaanza Ubungo Bus Terminal kuchukua Morogoro road mpaka fire kisha Bibi Titi kuelekea Ofisi ya Tume.
Wajumbe wa Kamati Kuu mnaopenda kushiriki maandamano tafadhali mtachagua kati ya maeneo hayo. Maandamano yanaanza saa mbili kamili asubuhi kuelekea Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere Conference Center. Viongozi Wakuu wataongoza Maandamano hayo.
Unaweweseka.Sasa jibu swali
Wananchi hawataki kutumika na vibaraka wa mabeberu kuivuruga nchi yao Mama Tanzania wanayoipenda sanaHahahaha nyepesi kushindwa ubunge kunamchanganya sana, si tuliwaambia mapimbi nyie muache kudhrau system, nyie mkajitia pamba masikioni, na bado, lazima wananchi wawashughulikie na maandamano yenu ya kijinga
Hapana, hata wakati unapumuliwaKwani kila anayevaa mask ni kwasababu ya kuzuia Corona?
Aisee, inaonekana ndo michezo yako hiyo. Kweli Aunt Li, amewafurahisha mashogaHapana, hata wakati unapumuliwa
Una experience nzuri. saafi. vipi wapumuliwa vizuriHapana, hata wakati unapumuliwa
Sheria ya vyama vya siasa inatoa hyo haki sasa kwanini mzuie?Maandamano ya nini mkuu? Wananchi wameshamaliza kufanya uchaguzi.
Maskini ndio huwa anashabikia anguko la mtu aliyemzidi kila kitu sababu inampa relief ya inferiority complex aliyonayo!!Sijui umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba mimi ni kapuku,