HahahahahahahaMaandamano yamepamba moto hapa hadi polisi wamezidiwa nguvu na waandamanaji. Kuna wadada wawili wamejeruhiwa na risasi za moto na wanapelekwa hospitali kwa matibabu. Polisi nao wanapiga mabomu ya machozi ovyo ovyo yaani. Nikiripoti kutoka Jamhuri ya Twitter na Instagram, mimi ni ripota wako Jane Lowassa
Mkuu ni vizuri mkae kimya msitafute justification kwa wizi mliofanya. Maadam mmechukua viti vyote basi endeleeni tu na bunge lenu msiokoteze sababu za kuunga unga.Huyo Zitto mwenye pesa mbona husemi kama alitoa ahadi 2015 kwamba akishinda ubunge na kupata Meya wa mji kupitia ACT atawalipia ada wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda A-level ndani ya shule za mkoa wa Kigoma, lakin hakutimiza ivo?? Sasa ajue hilo ni moja kati ya yalimpotezea ubunge, pia hakupata wanachama wapya zaidi ya kupoteza wapigakura wake.
Sisi wananchi wa Kigoma tunamisimamo yetu hata mbunge apendwe vp asipotimiza ahadi zake alizoahidi kwa mapenzi yake off he go. Apumzike tuone huyu Kirumbe (incoming) atafanya nn.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Kaandamane urudi maiti.....tena ntampa mbwa wangu maiti yako wakukule [emoji28][emoji28][emoji28]
Nakuona hapa ukifakamia tonge ya ugaliVipi maandamano yaliendaje leo? wengine ndo tunatoka kusaka tonge.
Akili yakuambiwa changanya na yako. Mtanzania usirubunike kirahisi na wahuni
Labda wafungue chama cha mitandaoni ...Chadema na ACT,kwa wale wabunge wenye ushahidi tosha nendeni mahakamani ili kuweka kumbukumbu!! Kinachotakiwa sasa hivi ni kuungana na kuunda chama kimoja chenye nguvu ili kuipasua ccm!! na kudai katiba mpya!!!
Ni ngumu mno kushinda kama chama tawala hakijapasuka na bila katiba mpya na tume huru!!
Na Logoff after five years tukutane tena!!!!
View attachment 1618234
Daah! Ila stress siyo ugonjwa, hichi kibabu kingesha kufa kitambo. Hapo kinafikiria upya 2025...
Kwa kiswahili kizuri ni kwamba wapinzani hawana cha kuwambia wananchi Mana muelekeo wao ulishakufaChadema na ACT,kwa wale wabunge wenye ushahidi tosha nendeni mahakamani ili kuweka kumbukumbu!! Kinachotakiwa sasa hivi ni kuungana na kuunda chama kimoja chenye nguvu ili kuipasua ccm!! na kudai katiba mpya!!!
Ni ngumu mno kushinda kama chama tawala hakijapasuka na bila katiba mpya na tume huru!!
Na Logoff after five years tukutane tena!!!!
Nikwambie ambao Wana mihemko ya kwamba ccm imeshinda kihalali kabisa Kwani imewatendea watanzania maajabu makubwaMkuu ni vizuri mkae kimya msitafute justification kwa wizi mliofanya. Maadam mmechukua viti vyote basi endeleeni tu na bunge lenu msiokoteze sababu za kuunga unga.
Eti eeh? Niambie Lindi na Mtwara wamefanyiwa maajabu gani hadi waichague CCM? Nitajie suala moja tu!!Nikwambie ambao Wana mihemko ya kwamba ccm imeshinda kihalali kabisa Kwani imewatendea watanzania maajabu makubwa
Upanuzi wa bandari mtwara unataka nini tenaEti eeh? Niambie Lindi na Mtwara wamefanyiwa maajabu gani hadi waichague CCM? Nitajie suala moja tu!!
Korosho inategemewa na zaidi ya 70% Je serikali ina legitimacy huko?Upanuzi wa bandari mtwara unataka nini tena
...Lakini huko Lindi wamevuna wabunge wa majimbo yote na madiwani wa kutosha.Korosho inategemewa na zaidi ya 70% Je serikali ina legitimacy huko?
Vp querry zao za gesi asilia?
Hakika#Tugange yajayo
#Uchaguzi umekwisha
#Linda amani ya taifa
#Ipende tanzania
#Tufanye kazi kwa bidii
#Kataa kuvuruga amani
#Fanya yako kiufasaha
Nitakuwepo , na nitaanzia Buguruni sheli