Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

MAMA MKANYE MWANAO.
Natamani kuona familia ya Lissu Mbowe Kabwe Maalimusefu, kesgo wakiongoza maandamano.

Wananchi mkiona tu familia zao hazipo mjue mnatumika acheni upuuzi huo
 
FB_IMG_1604252076806.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Acheni unafki. Walivyoangushwa wenzenu wasio na majina Seikali za mitaa,hamkuitisha maandamano. Leo mibuyu imekatwa ndo mnataka maandamano just because mmeguswa.
Acheni Tamaa. Sasa tulieni muungane mfanye siasa za kweli na si za maslahi yenu binafsi.
 
Wewe maandamano yanakuhusu nini ?
 
Wewe maandamano yanakuhusu nini ?
Acheni ujinga. Mngeshinda ubunge mngeandamana ?Mwaka 2015 why hamkuandamana na madai ya kuibiwa yalikuwepo ?Sijafurahi mlivyoibiwa ila walivyofanyiwa wale wa chini serikali za mitaa why mliwaambia wajitoe ?Acheni hizo sometimes najiambia Magufuli kawaweza maana mmezidi unafki.
 
Maandamano ya mtandaoni labda.

Watanzania wanataka amani ndo maana wameipigia CCM
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Acheni ujinga. Mngeshinda ubunge mngeandamana ?Mwaka 2015 why hamkuandamana na madai ya kuibiwa yalikuwepo ?Sijafurahi mlivyoibiwa ila walivyofanyiwa wale wa chini serikali za mitaa why mliwaambia wajitoe ?Acheni hizo sometimes najiambia Magufuli kawaweza maana mmezidi unafki.
Masikini wengi hukata tamaa mapema

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Back
Top Bottom