Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Mlikuwa mnatuaminisha kuwa upinzani ndio unaochelewesha maendeleo, hata mwenyekiti wenu alituasa tusichanganye betri na magunzi. Sasa mbona mnachachawa tena pale mnapotaka kuachiwa bunge wenyewe?
 
Sasa wewe unafurahia kutoweka kwa wapinzani!

Subiri sheria za hovyo zitakavyopitishwa zitakuhusu na wewe.
Mkuu huyo sheria hazimuhusu kabisaaa. Zitawahusu hao akina wapinzani wanaopinga kila kitu. Ambao hawataki maendeleo ya Taifa letu.
 
Kusema kuwa Aidah Khenan atatangaza kujivua Ubunge sio kweli. Ni Ulongo wa mchana kweupe. Kwanza ndo sherehe ya Wana Namanyere kushangilia anguko la Kessy inafanyika Leo. Jana ilikuwa Kirando, leo Kuna Ng'ombe saba wamechinjwa, tutakula tutakunywa kushangilia ushindi. Mnaoshawishi mama huyu ajiuzuru, hamna nia njema na Wana Nkasi. Tumemchagua Aidah na si Chadema. Plz and plz, tupeni wananchi haki yetu, Chadema msitufanyie Mambo ya CCM.
 
Ccm wanatamani huyo mama aende bungeni ili wakatukane wapinzani kupitia huyo mama. Hiyo nafasi hawatawapa
 
Usichojua ni kwamba UONGOZI ni mchakato usio na mwisho, uhalali wa kiongozi unatokana na uwepo wa uchaguzi huru na haki, ushiriki wa watu katika mazingira ya usawa. Kwa aina ya uchaguzi huu, vyema wakajitoa kabisa nafasi hizo, CCM itimize azma yake ya kuleta maendeleo kwenye majimbo bila kikwazo.
Hakunaga uchaguzi Huru na Haki Duniani Kote
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Kama mlikuwa na matokeo yenu na kura zenu zilizopigwa tayari kabla hata ya uchaguzi kwa nini Chadema tukubali upuuzi wenu!! Hatuwezi kuhalalisha ujinga mliofanya hata kwa thamani za damu yetu.
Watanzania tuko tayari kupokea maamuzi ya viongozi wa Chadema na ACT. Imetosha kwa kweli, lazima sasa tuanze rasmi mchakato wa kuitoa kwa nguvu Ccm madarakani. Mlikofika ni kubaya sana na watanzania hatuko tayari
 
Crap from cripled brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mlisema mwaka huu hamuibiwi kura iwenkwa heri au kwa shari??
Idiot kabisa wewe, watu wana chukua ushindi kwa bunduki alafu unasema uongozi ujitathimini!! hizi huwa mnawaza kwa kutumia nini nyie viumbe wenzetu?
 
Mwaka huu mtaimba sana wimbo kwa kupokezana, ila ni lazima chadema ifutwe iwe kwa busara au kutumia nguvu.
Nyie lazima dawa ieaingie tu, si mlijifanya mnajua sana kuongea na kutukana??
Kama mlikuwa na matokeo yenu na kura zenu zilizopigwa tayari kabla hata ya uchaguzi kwa nini Chadema tukubali upuuzi wenu!! Hatuwezi kuhalalisha ujinga mliofanya hata kwa thamani za damu yetu.
Watanzania tuko tayari kupokea maamuzi ya viongozi wa Chadema na ACT. Imetosha kwa kweli, lazima sasa tuanze rasmi mchakato wa kuitoa kwa nguvu Ccm madarakani. Mlikofika ni kubaya sana na watanzania hatuko tayari
 
Tulia dawa ikuingie, mlijifanya mnajua sana kuongea na kutukana.
Mwaka huu mpaka maji muite mma, hakuna kuonewa huruma ni mwendo wa kusagwa tu.
Chadema ni lazima ife
Nyie mijitu ya ccm mnatia hasira,mnaandika nini sasa si ndicho mlichokuwa mnakitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
Aida hajawazidi mbinu. Waliosababisha mbowe et all washindwe Kwa dhulma wamemruhusu Aida ashinde.
 
Kwangu mimi huu ndio uamuzi kwa sasa tena wa busara sana.... Kuna haja ya watanzania kuuhitaji upinzani sio wapinzani wachache kuwalilia watanzania wasiojielewa..... Tena ikibidi waache kujihusisha na siasa kabisaaa tuone hayo maendeleo CCM tuliyokua tunayaimba na yakakwamishwa.....

Ili CCM itoke inahiji maamuzi collective ya watanzania na si watu wacheche waliojitoa kupambania wengi.... CCM DAIMA
 
Back
Top Bottom