Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
😁😁😁😁😁😁😁Bado mpo vituoni kulinda kura?
Maalim Seif midaa hii katangaza maandamano na mmemkamta.Hii habari JF wanaizuia.Waongee nini wameshakataliwa ?
Ni zamu yenu kucheka but remember he who laughs last laughs longer.😁😁😁😁😁😁😁
Sehemu nyingi hawakuwa na mawakala na ni wazi hawakuwapa mafunzo yoyote. Yaani hakuna organization yoyote, Lissu kapambana peke yake. Cowards yamejificha!Siasa bana. Ila aliyetegemea kitu tofauti na tunachokiona sasa alikuwa anajipa faraja tu.
Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili waliochoooka. Wale hata haikuhitaji kuwatoa nje. Vipigo vingine Wapinzani huwa wanajiandalia wenyewe tu.
Maalim Seif midaa hii katangaza maandamano na mmemkamta.Hii habari JF wanaizuia.
ZANZIBAR: MAALIM SEIF NA VIONGOZI WENZAKE WAKAMATWA NA POLIS.
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad
Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji, @IsmailJussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa.
#ZanzibarLivesMatter https://t.co/0ibNN4hQX3
Najua inauma lakini sioni chochote cha maana huko mbele. Wachache watauwawa na tuliobakia tutakandamizwa na kudhulumiwa. International community will say nothing! No sanctions, no nothing.Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
BREAKING NEWSNajua inauma lakini sioni chochote cha maana huko mbele. Wachache watauwawa na tuliobakia tutakandamizwa na kudhulumiwa. International community will say nothing! No sanctions, no nothing.
Ndiyo kwanza chai inaanza kuchemka.Najua inauma lakini sioni chochote cha maana huko mbele. Wachache watauwawa na tuliobakia tutakandamizwa na kudhulumiwa. International community will say nothing! No sanctions, no nothing.
Sio hivyo tu mkuu..me mwaka 2015 nilisimamia uchaguzi,nilishangaa kuona wakala wa chadema kashinda na njaa kutwa nzima hakuna hata anaejisumbua kumletea chakula wala maji..wakati wenzao wa ccm watu wao kila baada ya lisaa utaona wameleta msosi au vinywaji.Siasa bana. Ila aliyetegemea kitu tofauti na tunachokiona sasa alikuwa anajipa faraja tu.
Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili waliochoooka. Wale hata haikuhitaji kuwatoa nje. Vipigo vingine Wapinzani huwa wanajiandalia wenyewe tu.
Najipanga kutoka, lazima jiwe liwake leo, inabidi wapate angalau warning kua hatutavumilia ushenzi miaka yote.Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
Hapa hamna wa kulaumu nazingira ya siasa Tz yalikua magumu atakukusanya tu wana chama wako mkiwa ndani ya hoteli au nyumbani ulikua unakamatwa na police, lawama inakuja kwetu raia sie ni waoga tumeshidwa kudhibiti hiyo hali ya udikitetaSehemu nyingi hawakuwa na mawakala na ni wazi hawakuwapa mafunzo yoyote. Yaani hakuna organization yoyote, Lissu kapambana peke yake. Cowards yamejificha!
Anasubiri dakika ya 89Membe ye yuko wapi?
Relax, take it easy...the battle has only just begun and the winner takes it all 😀Holly shit man get the **** off. You’ve been posting shit all day. Blocked your shitty profile Idk why I keep seeing your shit
Mwaka 2015 Mawakala wa Mnyika waliombwa kusimamia bure na wengi waliombwa kutoka makanisa ya kilokole.Sio hivyo tu mkuu..me mwaka 2015 nilisimamia uchaguzi,nilishangaa kuona wakala wa chadema kashinda na njaa kutwa nzima...
Maalimu ameshakamatwaNajipanga kutoka, lazima jiwe liwake leo, inabidi wapate angalau warning kua hatutavumilia ushenzi miaka yote.