Watatulia tu hao na hakuna kitakachotokea Zanzibar.Wewe ni wakupuuzwa tu.
Ni vizuri alivyofanya lakini mwaka huu hatuko peke yetu. Kumbuka 2015 mpaka serikali ilimuondoa muwakilishi wa UNDP kwa msaada alikmpa Maalim. Sasa hivi wamerudia yale yale.
Wanaiba hivi:Wapinzani wenyewe wanatengeneza mazingira ya kuibiwa,ingawa sina uhakika kama kura zinaibiwa kweli.
Haya yangekua solved kma kila kituo wangeacha mawakala wa upinzani na pia wawape nakala ya matokeo.Wanaiba hivi:
Let say kituo kimoja kuna wapiga kura 500 wenye haki ya kupiga kura pale. Then wanajitokeza 200. Kati ya hao 200, CHADEMA inapata let say 110 na CCM 90.
NEC (DED) na mawakala mule ndani wanawapigia kura wale 300 ambao hawakwenda kupiga kura. In most cases wanaweza kuchukua 200 kati ya 300 ili isiwe too obvious. Then zile 90 plus 200 hewa inakuwa 290 kwa wagombea wa CCM
Kama mawakala hawapo then kazi inakuwa laini mnooo. Michezo huanzia vituoni. Mawakala dhaifu wa Upinzani ni mwanzo wa vipigo heavy.
Nadhani wanangoja Koramu itimie. Mbowe tayari, Sugu tayari, Msigwa tayari, Heche tayari, Mdee tayari, Lema ni kama tayari, na wengine tayari. Najua wanangojana kwa kuwa kuingia mitaani si suala la kukurupuka. Ni lazima lipangiliwe na kuratibiwa kwa makini. Najua kitu fulani kinapikwa sasa hivi.Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
mbwa weweMnataka kuharibu uchaguzi ? Ukumbuke huu tunatumia hela zetu za ndani. Nyie mnataka kuchelewesha maendeleo
Hii ni sawa na jinsi mlivyochezewa kwenye kura hawa wamejipanga ku deal na hilo tena kwa huko Zanzibar. Sijui lini mtajifunza hampambani na waswahili wa pale Lipumba bali watu wa system wenye akili zao.Maalimu Seif ameshawaita wapenda mabadiliko wote wakutane round about ya Michenzani sasa hivi. Maandamano yasiyo na ukomo yanaanza.
Zito kabwe kawauza,michezo yote anaijua ila aliaidiwa kwake patakuwa salama na atachiwa jimbo akanyamaza,kilichofatia wamempiga mpaka yeye mwenyewe.Mwaka huu ni pampa to pampa hakuna kusubiri.
Mzee tamko does not make senseNilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake haisaidii, muda huu ni wakati wa kuonyesha mshikamano.
Kama ni ushahidi wa wizi wa kura umeshaonekana, mmejionea wenyewe mawakala wenu wengi wakienguliwa na sasa wanatolewa vituoni wakati muhimu wa kuhesabu na kujumlisha kura. Mmeshuhudia viongozi wenu hasa wenyeviti na makatibu wakivamiwa na kuuwawa hadharani, mawakala wenu wanakamatwa, mnasubiri kitu gani kuongea na wapigakura wenu.
Lissu, Maalimu Seif, Mbowe, Zitto where are you.
Hamna calculation wala strategy yoyote viongozi wa Upinzani wanafanya mambo kwa trends tu huku wakiomba Mungu , Mataifa ya nje yatoe tamkoKilichotokea ni calculations, baada ya Lissu kuitangazia jumuia ya kimataifa ndiyo maandamano yanaanza. ICC watafanya uchunguzi sababu ya Maalim kuwekwa ndani. Kumbuka Lissu amewaomba majirani pia wasiukubali ichaguzi huu uliokosa haki.
Subiri wewe usikurupuke jana si leoHamna calculation wala strategy yoyote viongozi wa Upinzani wanafanya mambo kwa trends tu huku wakiomba Mungu , Mataifa ya nje yatoe tamko
FYI ICC haifanyi kazi hivyo. Fuatilia kinachotokea Guinea utaelewa.