DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Ktk vinara wanaotaka posho iongezwe yumo Kapt Komba NA Maji Marefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kijana wa Lumumba slaa naposho vitu viwili tofauti au unataka uonekane Leo umepost kitu ili usikose b7Slaa ana siasa za ulaghai sana huyu mzee. Ni nini kitamtenga na dhambi jamani!?
Mimi mwenyewe namshangaa SLAA, badala amwambie MBOWE ajiengue kwanza kwenye hiyo timu ya watu 6 anapiga kelele zisizo na maana.
acheni unafiki, mbowe yumo kwenye kamati ya wanaodai posho pamoja na kina lukuvi halafu mnasema eti cuf na chadema wanaipinga? Au mbowe mshamvua uanachama? Nassari nae yupo ccm? Angalau zitto pekee hata kama mnafiki amejitofautisha na wengine kwa kusema hata ikiongezwa hatoichukua, kama chadema na cuf mnayoongea yanatoka kwenye mioyo yenu tangazeni kutochukua nyongeza ikiongezeka.
kijana wa Lumumba slaa naposho vitu viwili tofauti au unataka uonekane Leo umepost kitu ili usikose b7
Mnyika ameshatoa msimamo kwamba haungi mkono nyongeza ya Posho.Pengine Mbowe kuwepo huko atapendekeza zisiongezwe au zifutwe kabisa kwa wabunge wa bunge la jamhuri isipokua zibaki laki 3 kwa wale walioteuliwa na Rais
zitto hana haja na vijisenti hivyo, akaunt yake iko sawa tangu 2008 alipoanza kuasi
safi sana CDM & CUF kwa kususia posho, huo ndo uzalendo.
Dr Slaa hajui kama Joshua Nasari ni Mbunge wa chadema ambae nae anataka nyongeza ya posho
Kwani CUF wamevunja ndoa na ccm?