Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Dr Slaa hajui kama Joshua Nasari ni Mbunge wa chadema ambae nae anataka nyongeza ya posho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi ya vyama vya siasa, wanaharakati na wananchi wa kawaida wameshangazwa na maombi hayo ya posho, wakisema wajumbe wamesahau kilichowapeleka bungeni na kukimbilia kutetea masilahi yao.
Vyama vya Chadema na CUF kwa nyakati tofauti, vilisema kuwa vitaanzisha juhudi za kuwataka wabunge wao ambao ni wajumbe wasusie agenda yoyote inayotaka kuongezwa kwa posho hizo.
Tamko la vyama hivyo limetolewa huku Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho wajumbe wake ndio wanaodaiwa kupigia debe mpango huo, kikisema kitatoa ufafanuzi juu ya hoja hizo baada ya kupata taarifa rasmi.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alisema jana kuwa wajumbe hao hawakupaswa kudai nyongeza ya posho kwa vile hawakutumwa kwenda Dodoma kudai marupurupu ya fedha.
Alisema kuanza kujadili suala la nyongeza ya posho badala ya kuzungumzia hoja za msingi zilizopo kwenye Rasimu ya Katiba, ni sawa na kuwapuuza wananchi ambao wanasubiri kupata Katiba Mpya.
Wametoka kwenye hoja na kutupeleka kwenye mambo mengine ambayo hayana msingi wowote. Sisi kama Chadema tunapinga na tunataka wabunge wetu watambue hilo, alisema.
Alisema wale wanaolalamika kwamba Sh300, 000 hazitoshi wanajaribu kupindisha ukweli, kwani kuna baadhi ya watumishi wa Serikali wanalipwa kiasi hicho ikiwa ni mshahara wao wa kila mwezi.
Alisema Chadema kimewataka wabunge wake kutojiingiza kwenye malalamiko hayo badala yake wazingatie kile walichotumwa na wananchi kwenda Dodoma.
Acheni Unafiki, Mbowe yumo kwenye Kamati ya wanaodai Posho pamoja na kina Lukuvi halafu mnasema Eti CUF na Chadema wanaipinga? Au mbowe mshamvua uanachama? Nassari nae yupo CCM? angalau Zitto pekee hata kama mnafiki amejitofautisha na wengine kwa kusema hata ikiongezwa hatoichukua, Kama Chadema na CUF mnayoongea yanatoka kwenye Mioyo yenu tangazeni kutochukua nyongeza ikiongezeka.
Hili suala la posho litasumbua sana kwa kuwa wengi wa wale wajumbe 201 walioteuliwa na Rais ni "apeche, alolo", hohehahe, hawana mbele wala nyuma.akili yako imemezwa na posho kiasi hujui kama hiyo kamati sio wote wanaunga mkono posho, haya mama jipange watawaongezea
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
hawezi mwambia mwajiri wake atanyimwa poshoMimi mwenyewe namshangaa SLAA, badala amwambie MBOWE ajiengue kwanza kwenye hiyo timu ya watu 6 anapiga kelele zisizo na maana.
Acheni Unafiki, Mbowe yumo kwenye Kamati ya wanaodai Posho pamoja na kina Lukuvi halafu mnasema Eti CUF na Chadema wanaipinga? Au mbowe mshamvua uanachama? Nassari nae yupo CCM? angalau Zitto pekee hata kama mnafiki amejitofautisha na wengine kwa kusema hata ikiongezwa hatoichukua, Kama Chadema na CUF mnayoongea yanatoka kwenye Mioyo yenu tangazeni kutochukua nyongeza ikiongezeka.[/U OTE
Napata shida kuelewa kama kilichoandikwa ingawa nikiswahili umeelewa?Au ndio akiliyenu maCcm yakuazima kwawatu? Umeambiwa katibu mkuu wa Cdm ametoa tamko kama msimamo wa chama na kama mtendaji mkuu wa chama alafu wewe unaleta hangover za matap tap hapa!
Na Lema yumo?
Dr Slaa hajui kama Joshua Nasari ni Mbunge wa chadema ambae nae anataka nyongeza ya posho
dr slaa hajui kama joshua nasari ni mbunge wa chadema ambae nae anataka nyongeza ya posho
huo ni upotoshaji ndugu,nasari alishafafanua juu ya jambo hilo.tafuta uzi wake uko humu,amesema posho ya laki 3 ni kubwa. Hao watu wa gazeti la nipashe walidanganya.
Hili ni jibu mwanana kwa dada RitzLema kaishaoa, ana mke na watoto3 na mitala hahitaji