Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ukae kimya tu huna unachokijua nakuonea huruma kabisa.
Kama kuna watu wanamchukia Slaa, Ritz ni namba moja. Hivi alikuchukulia mke au Nguvu za udini?
We wa ajabu kweli mtu akitoa tamko tu anapongezwa.Hongera kwa tamko hilo
CHADEMA kama kawaida yao WANAONYESHA NJIA
Kwanza yupo tu pale kama pazia la mlangoni hajui hata anachofanya pale chadema.Mkuu, huyu si katika wale wanaojipendekeza ufipa? tutaona kama hayo mawazo yake yatalandana na kitakachotokea
Tehetehetehetehe, hakika mzalendo pekee ni Zitto ambaye amekataa hata hiyo Laki TatuHapa ndipo Zitto anapowapiga bao,Wao wanaongea Zitto anatenda.Wanasiasa!
Mkuu, kuna wengine wakati wanachangia wanakuwa wamelewa gongoWe wa ajabu kweli mtu akitoa tamko tu anapongezwa.
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
Tehetehetehetehe, hakika mzalendo pekee ni Zitto ambaye amekataa hata hiyo Laki Tatu
We ulitegemea ampende wakati alitangaza kuwa nchi haitatawalika? hata mie namchukia ile mbaya
Cybercrime...ile ni kamati iliyoundwa kuhusiana na hayo madai..kuwa mjumbe wa kamati haimaanishi unaunga mkono hoja
kila mara huwa unamtukana DR na moda wanakuangalia tu, mtu ambaye ni verified member na ana heshima kwa jamii. Unadriki kumtusi hadharani?Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
akili yako imemezwa na posho kiasi hujui kama hiyo kamati sio wote wanaunga mkono posho, haya mama jipange watawaongezea
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
Acheni Unafiki, Mbowe yumo kwenye Kamati ya wanaodai Posho pamoja na kina Lukuvi halafu mnasema Eti CUF na Chadema wanaipinga? Au mbowe mshamvua uanachama? Nassari nae yupo CCM? angalau Zitto pekee hata kama mnafiki amejitofautisha na wengine kwa kusema hata ikiongezwa hatoichukua, Kama Chadema na CUF mnayoongea yanatoka kwenye Mioyo yenu tangazeni kutochukua nyongeza ikiongezeka.
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.