CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.

Kama kuna watu wanamchukia Slaa, Ritz ni namba moja. Hivi alikuchukulia mke au Nguvu za nini?
 
Kama kuna watu wanamchukia Slaa, Ritz ni namba moja. Hivi alikuchukulia mke au Nguvu za udini?

We ulitegemea ampende wakati alitangaza kuwa nchi haitatawalika? hata mie namchukia ile mbaya
 
Mkuu, huyu si katika wale wanaojipendekeza ufipa? tutaona kama hayo mawazo yake yatalandana na kitakachotokea
Kwanza yupo tu pale kama pazia la mlangoni hajui hata anachofanya pale chadema.
 
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.

kwa hiyo ulitaka wasichukue???? we mbulura kweli????
msimamo wetu ni kuwa,wabunge wachukue hiyo posho ns inatosha kwa matumizi ya kawaida ya binadamu!
 
Last edited by a moderator:
Cybercrime...ile ni kamati iliyoundwa kuhusiana na hayo madai..kuwa mjumbe wa kamati haimaanishi unaunga mkono hoja

Mkuu, unapoteza tu energy kuwaelimisha watu wasioelimika hata ungeanzisha darasa leo, pole sana
 
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.
kila mara huwa unamtukana DR na moda wanakuangalia tu, mtu ambaye ni verified member na ana heshima kwa jamii. Unadriki kumtusi hadharani?

Kwakuwa badhi ya wahariri wa JF wapo nyuma yako, hatutalalamika twende kazi
 
Last edited by a moderator:
akili yako imemezwa na posho kiasi hujui kama hiyo kamati sio wote wanaunga mkono posho, haya mama jipange watawaongezea

Msamehe bure, huyu hajui hata ni nini hiyo kamati inashughulikia, anahisi ni kamati iliyoundwa ili kuongeza posho
 
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.

Mbona unatokwa na povu? hata kwenye ukweli we unapinga? watu wenye mazwazo pungufu utawajua hata akiandika mstari mmoja wa maneno!
 
Acheni Unafiki, Mbowe yumo kwenye Kamati ya wanaodai Posho pamoja na kina Lukuvi halafu mnasema Eti CUF na Chadema wanaipinga? Au mbowe mshamvua uanachama? Nassari nae yupo CCM? angalau Zitto pekee hata kama mnafiki amejitofautisha na wengine kwa kusema hata ikiongezwa hatoichukua, Kama Chadema na CUF mnayoongea yanatoka kwenye Mioyo yenu tangazeni kutochukua nyongeza ikiongezeka.

wewe ndo mnafik na mwongo hiyo kamati imeundwa kuchunguza madai ya wanaosema posho haitosh,kwa mazingra ya kawaida wanalipwa laki moja zaidi kuliko wabunge wa bunge la taifa,sasa sielewi haya majitu tuliyatuma kudai maslah yao au kuleta katiba ya wana nchi.
 
Unafiki wa wanasiasa Dr.W.Slaa acha unafika usirukie ili jambo anza kwanza na wabunge wako bungeni kila siku wanachukua posho.

bora ungekuwa miongoni mwa mimba zilizotoka maana badala ya kutafuta baraka unatafuta Laana .rubbish.....
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa hajui kama Joshua Nasari ni Mbunge wa chadema ambae nae anataka nyongeza ya posho
 
Back
Top Bottom