CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC

Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa nawapongezwa bora hawakwenda waliona mbali.
 
Ule waraka wa TEC ulizungumzia serikali kutaka kupeleka mswada wa mabadiliko ya sheria bungeni, ukakemea hiyo hatua iliyoonekana kabisa ni ya kihuni.

Baada ya hapo bunge likagoma kufanya mabadiliko ya ile sheria na kurudisha mapendekezo serikalini.

Kisha serikali nayo baada ya kupokea mapendekezo ya bunge, ikakubali kuondoa ule mswada wa kufanya mabadiliko ya ile sheria ya rasimali.

Hii maana yake ni kwamba, kwa kutoufanyia mabadiliko ile sheria, serikali inakiri ule mkataba wa bandari ni mbovu, umevunja sheria zetu za ndani ambazo walitaka kuzibadilisha ili kuupa uhalali ule mkataba.

Ajabu pamoja na yote hayo, bado kuna wajinga wasioiona nguvu ya TEC kwenye ile issue, kilichobaki pale ni serikali ya Samia sasa kukubali ule mkataba wa bandari ni wa hovyo, haufai, wauvunje, hatujasahau.
 
Wacha wasusie kwani kutokushiriki kwao kume leta impact gani na pia kushindana na serikali ni kupoteza muda Rais Samia bado yupo sana na namba mtaisoma kwa chuki dhidi ya mamlaka ya Nchi. Toka lini taasisi ikawa na nguvu ya kisiasa na ushawishi?

Msijidanganye kwakuwa mna siri za ndani za waumini wenu mkasahau kuwa nyie ni raia wa kawaida tuu. Tena raia kama raia wengine
 
Eti Umeuliza; toka lini taasisi ikawa na nguvu ya kisiasa ya ushawishi?

Unaonekana una upeo mdogo sana, huijui nguvu ya taasisi kama TEC kwenye ushawishi wa kisiasa?

Nani anayejidanganya hapo?!

Umeuliza swali kimhemko sana, kaa tulia tafakuri upya, usikurupuke siku nyingine.
 
Wacha wasusie kwani kutokushiriki kwao kume leta impact gani na pia kushindana na serikali ni kupoteza muda Rais Samia bado yupo sana na namba mtaisoma kwa chuki dhidi ya mamlaka ya Nchi. Toka lini taasisi ikawa na nguvu ya kisiasa na ushawishi?

Msijidanganye kwakuwa mna siri za ndani za waumini wenu mkasahau kuwa nyie ni raia wa kawaida tuu. Tena raia kama raia wengine
Umeandika kijinga sana.Umevunja ungo?
 
Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC

Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa nawapongezwa bora hawakwenda waliona mbali.
NAONA WARAKA WA TEC BADO UNAWACHOMA SANA PONGEZI ZA DHATI KWA TEC WARAKA WA KISOMI UNAWACHOMA WAHUSIKA
 
Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC

Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa nawapongezwa bora hawakwenda waliona mbali.
Wanaogopwa kuliko ukoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom