TEC wawepo kwenye mkutano au wasiwepo hiyo siyo issue kubwa. Kubwa ni nguvu waliyo nayo hawa jamaa ndani ya taifa hili. Kama kuna mtu hajaiona hiyo nguvu basi atakuwa atakuwa na tatizo. Rejeeni moto wa bandari ulivyokuwa na namna bunge letu lilivyopitisha ule mkataba halafu likajiandaa kurekebisha sheria kufuta sheria za Magufuli kulinda maliasili zetu. Baada ya waraka nini kilifuatia? Kwa uchache tu:-
- Tuliona mbunge wa Bunda anaweweseka hadharani ndani ya kanisa anatubu wakati misa inaendelea.
-Ghafla tu watetezi wa huo mkataba wamepotelea kusikojulikana.
-Ghafla tu mamlaka ya bandari wametangaza tenda magazetini wakati IGA ilitamka bandari zote zipo chini ya DPW
-Tumeona jinsi mhimili mmoja ulivyonywea kwenye hili suala wakati wanaanza kikao chao tofauti kabisa na walivyokuwa mwanzoni wakati wanapitisha IGA.
Hayo ni kwa uchache tu. Je kuna ushahidi gani mwingine unahitajika kujua nguvu ya TEC kwenye nchi hii? Ukitaka kujua TEC wamechukulia umuhimu suala fulani na hasa lenye manufaa kwa taifa na watanzania angalia aina ya uwakilishi wao na mara nyingi utamuona father Kitima. Lakini iwapo suala sio muhimu sana na halina manufaa kwa taifa atatumwa mwakilishi mwingine tu wa kawaida.
Ni mtizamo tu.