usiulize kwa Tiketi ya Chama Gani.....tofauti na vyama vya siasa kila mtu anamajukumu yake mengine kama Walimu, wachumi, wazee wa busara and so on.... swali la msingi... uliza ameshiriki kwa Maslahi ya nani na kwa mwaliko wa nani ? ni jambo la kitoto kama msemaji rasmi wa Chadema anasema Chadema hawajutuma mwakilishi rasmi ila CCM wanang'ang'ania Chadema wanamwikilishi, Je amebeba maoni ya Chadema ? Amequalify kuwa mwakilishi wa Chadema bara na visiwani ? je Chama kitafanyia kazi chochote kitakachoamuliwa huko ? Jibu ni Hapana.