Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea utoto gani dogo? Umesema ni kitabu kama vitabu vingine, na mimi nimekwambia ni kitabu cha aina gani. Au hiyo sheria mama inaandikwa kwenye mawe?Ni kitabu au ni Sheria Mama?
Usichanganye madesa Mzee utapotea unatetea hoja kizembe
Rudi shule,Unaongea utoto gani dogo? Umesema ni kitabu kama vitabu vingine, na mimi nimekwambia ni kitabu cha aina gani. Au hiyo sheria mama inaandikwa kwenye mawe?
Umekuja na marking scheme ama?Rudi shule,
'Nguvu ya elimu Ina umuhimu pale elimu ikitumika'
Umesema ni kitabu cha muongozo wa nini?
Emu turudi nyuma kidogo
Nataka tuunganishe dots,Umekuja na marking scheme ama?
Hoja alizowasilisha Askofu Bagonza zimetosha kufikisha ujumbe!Akili kubwa kama CHADEMA na TEC wanapasws kuwa consultants na siyo participants.
Ile kauli ya hovyo kabisa. Rais mzima hajui maana wala umuhimu wa katiba. Hajui hata yeye kuitwa Rais na kupewa vyote anavyopewa ni kwa sababu ya katiba.Hivyo hivyo Ila hajasema gazeti kasema Katiba ni kitabu km kilivyo kitabu cha 'Adili na Nduguze' Shaaban Robert
Ndio hivyo Mzee wangu Katiba anaiona sio chochote anawashangaa 'MIJITU' wanavyoipapatikiaIle kauli ya hovyo kabisa. Rais mzima hajui maana wala umuhimu wa katiba. Hajui hata yeye kuitwa Rais na kupewa vyote anavyopewa ni kwa sababu ya katiba.
Kusipokuwa ba katiba, ana nini yeye cha pekee zaidi mcheza ngoma au secretary wa TBL?
Kwani Mwigulu keshasema turudi?Burundi mkuu.Ndiyo narudi kwa mguu.
Kuna mmoja aliwaambia watu.. KWANI KATIBA ITAKULETEA MAJI..!!?? Ufala mtupuIle kauli ya hovyo kabisa. Rais mzima hajui maana wala umuhimu wa katiba. Hajui hata yeye kuitwa Rais na kupewa vyote anavyopewa ni kwa sababu ya katiba.
Kusipokuwa ba katiba, ana nini yeye cha pekee zaidi mcheza ngoma au secretary wa TBL?
TEC ni deep state babaNimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC
Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa nawapongezwa bora hawakwenda waliona mbali.
Muelekeze deep state ndio nini anaweza akajua ni Chama Cha SiasaTEC ni deep state baba
Kumbe ndiyo sababu ya hii nafasi mpya kubwa?Aisee, naona umeamka sio sawa. Hao waumini wake watasimama hadharani kuunga mkono huo mkataba?
Mfano, makamu wa raisi ni mkatoliki sasa ataweza kusimama hadharani na kusema maaskofu wamekosea. Una maana gani unaposema taasisi hizi hazina impact yoyote
Nshakuambia ulaji viporo ni hatari kwa akili yakoWacha wasusie kwani kutokushiriki kwao kume leta impact gani na pia kushindana na serikali ni kupoteza muda Rais Samia bado yupo sana na namba mtaisoma kwa chuki dhidi ya mamlaka ya Nchi. Toka lini taasisi ikawa na nguvu ya kisiasa na ushawishi?
Msijidanganye kwakuwa mna siri za ndani za waumini wenu mkasahau kuwa nyie ni raia wa kawaida tuu. Tena raia kama raia wengine
Iliishawahi kuiona Katiba ya Kanisa Katoliki Tanzania?Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC
Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa nawapongezwa bora hawakwenda waliona mbali.
Ule waraka wa TEC ulizungumzia serikali kutaka kupeleka mswada wa mabadiliko ya sheria bungeni, ukakemea hiyo hatua iliyoonekana kabisa ni ya kihuni.
Baada ya hapo bunge likagoma kufanya mabadiliko ya ile sheria na kurudisha mapendekezo serikalini.
Kisha serikali nayo baada ya kupokea mapendekezo ya bunge, ikakubali kuondoa ule mswada wa kufanya mabadiliko ya ile sheria ya rasimali.
Hii maana yake ni kwamba, kwa kutoufanyia mabadiliko ile sheria, serikali inakiri ule mkataba wa bandari ni mbovu, umevunja sheria zetu za ndani ambazo walitaka kuzibadilisha ili kuupa uhalali ule mkataba.
Ajabu pamoja na yote hayo, bado kuna wajinga wasioiona nguvu ya TEC kwenye ile issue, kilichobaki pale ni serikali ya Samia sasa kukubali ule mkataba wa bandari ni wa hovyo, haufai, wauvunje, hatujasahau.