Wacha wasusie kwani kutokushiriki kwao kume leta impact gani na pia kushindana na serikali ni kupoteza muda Rais Samia bado yupo sana na namba mtaisoma kwa chuki dhidi ya mamlaka ya Nchi. Toka lini taasisi ikawa na nguvu ya kisiasa na ushawishi?
Msijidanganye kwakuwa mna siri za ndani za waumini wenu mkasahau kuwa nyie ni raia wa kawaida tuu. Tena raia kama raia wengine