stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Unazungumzia dunia ipi mkuu? Hata watoto wa viongozi wetu wanapelekwa kusoma huko duniani, kama Miraji Kikwete, ambaye kuna mtu amemtaja hapa! Kuwa na uwezo wa unibunifu na ku-reason kunatokana na mfumo wa elimu.
Mfumo wetu huu tumeiga nchi zilizo kuwa za kikomonisti, ambapo mwalimu na mtaala Ndio kila kitu, mwanafunzi anapaswa kusikiliza kila anachoambiwa bila kipinga ama kuhoji. Mifumo ya nchi nyingine za magharibi ni tofauti, na kuna shule ambazo zina uhuru wa kupita mipaka kwa wanafunzi, lakini kuna zenye balance.
Sera ya CHADEMA ya elimu, ni shirikishi na utafanyika mchakato mkubwa, ukishirikisha wadau na wananchi kwa jumla kuboresha elimu yetu.
shule gan hio ambao wanafunzi hawainteract na mwalimu itakua shule ya ajab sana, tupe ilo jina: kila sehem duniani watu lazima wapitia huu mfumo, je wewe uko tayar kutibiwa na mtu aanaeshirikiana na mwalimu ama anaetumia vitabu zaidi? ukishapata jibu utajua kwann syllabus iko ivi, na itaendelea kuwepo hivi miaka nenda rudi unless tufike level ya kuweka chip kwenye ubongo ambayo ni bado sana mpaka ifike