Uchaguzi 2020 CHADEMA na Tundu Lissu wamekuja na mwarobaini wa tatizo la mfumo wetu wa elimu

Uchaguzi 2020 CHADEMA na Tundu Lissu wamekuja na mwarobaini wa tatizo la mfumo wetu wa elimu

Unazungumzia dunia ipi mkuu? Hata watoto wa viongozi wetu wanapelekwa kusoma huko duniani, kama Miraji Kikwete, ambaye kuna mtu amemtaja hapa! Kuwa na uwezo wa unibunifu na ku-reason kunatokana na mfumo wa elimu.
Mfumo wetu huu tumeiga nchi zilizo kuwa za kikomonisti, ambapo mwalimu na mtaala Ndio kila kitu, mwanafunzi anapaswa kusikiliza kila anachoambiwa bila kipinga ama kuhoji. Mifumo ya nchi nyingine za magharibi ni tofauti, na kuna shule ambazo zina uhuru wa kupita mipaka kwa wanafunzi, lakini kuna zenye balance.
Sera ya CHADEMA ya elimu, ni shirikishi na utafanyika mchakato mkubwa, ukishirikisha wadau na wananchi kwa jumla kuboresha elimu yetu.

shule gan hio ambao wanafunzi hawainteract na mwalimu itakua shule ya ajab sana, tupe ilo jina: kila sehem duniani watu lazima wapitia huu mfumo, je wewe uko tayar kutibiwa na mtu aanaeshirikiana na mwalimu ama anaetumia vitabu zaidi? ukishapata jibu utajua kwann syllabus iko ivi, na itaendelea kuwepo hivi miaka nenda rudi unless tufike level ya kuweka chip kwenye ubongo ambayo ni bado sana mpaka ifike
 
Wanafunzi wetu wana soma ili wafanye mitihani, ndo maana wanahimizwa kununua vitabu vya get ready na kusoma mitihani ya miaka ya nyuma!
 
Wanafunzi wetu wana soma ili wafanye mitihani, ndo maana wanahimizwa kununua vitabu vya get ready na kusoma mitihani ya miaka ya nyuma!

Ndo maaana ya syllabus sasa, hauwezi kurupuka na kuanza a new way of studying kwa sababu lengo la kusoma ni kujifunza jinsi ya kuendesha maisha kulingana na binadam alivo badilsha dunia, dunia imebadilisha na wazungu kuanzia mawasiliano mpaka maisha ya kila sku, sasa wewe unataka usome nn kingine, lazima ufit on the same same changes! you need more knowledge to understand this world
 
ndo maaana ya syllabus sasa, hauwezi kurupuka na kuanza a new way of studying kwa sababu lengo la kusoma ni kujifunza jinsi ya kuendesha maisha kulingana na binadam alivo badilsha dunia, dunia imebadilisha na wazungu kuanzia mawasiliano mpaka maisha ya kila sku, sasa wewe unataka usome nn kingine, lazima ufit on the same same changes! you need more knowledge to understand this world
Ungepata nafasi ya kusafiri kidogo au kusoma nje ya Africa, labda ungeelewa zaidi! Ili kutatua tatizo tunaitaji nguvu na akili kubwa kuliko ile iliyo tengeneza tatizo hilo! Kuna zaidi ya hicho unacho fahamu, tunaweza kujiondoa kwenye huu mfumo duni. Maendeleo ni hatua na huwezi kupata mafanikio zaidi kwa kurudia kitu kile kile! Kwa sasa kuna mkwamo wa fikra, tunaitaji akili mpya, Tundu Lisu ni mpango wa Mungu!
 
Labda wasubiri 2025
Sahv tumalizie mabarabara kwanza
 
Hii mifumo ya elimu iko kidunia, huo mfumo yeye anautoa wapi? Umefanikiwa majaribio wapi? Nani kamwambia majirani wako vizuri kuliko wabongo?

Lissu hebu nenda Congo Mali Bulgaria uone mining experts wakitanzania wanavyoheshimika, one of the best pilots wa emirates Ni miraj kikwete, nenda world bank utamkuta Miriam Salim, nenda who utakutana na Dr Mwale, wote Hawa wameanza shule humuhumu, hao mbumbu Ni wapi?
Mkuu @eddy,kwa sisi tuliosoma miaka ya 60 tulipopata uhuru mpaka mwishoni mwa 80, utakubaliana nami kuna utofauti mkubwa wa elimu ya kipingi kile na sasa.
Mwaka jana nilipokuwa huko nyumbani,mtoto wa dadangu yupo darasa la 6 anamuomba mama yake amshonee kifungo kwenye shati lake.
Nikamuuliza hawasomi sayansi kimu,akajibu kwa swali kwamba ndio nini!!
Mfumo wa elimu wa sasa kusema ukweli lazima uangaliwe upya.
 
Kwahiyo mnataka mkafanyie majaribio ikulu? Hatutaki nendeni twaweza mkafanyie huko, mnataka kuturudisha enzi ya akina mungai? Hayo mnayoyahubiri leo yalishakuwepo nayakafeli, kuanzia UPE elimu yakujitegemea elimu ya watu wazima, hizo practical zilikuwepo tukawa na shule Kama Moshi tech, ifunda, mkwawa shycom, na vyuo Kama Arusha tech dartec mbeya tech, mnataka kuweka gear ya reverse?
Kama hayo yalikuwepo,yameenda wapi? Nani aliyeyapeleka huko yalipo? Kuna haja ya kuendelea na watu wale wale na wenye akili ile ile iliyotengeneza tatizo tukiamini wanaweza kulitatua hilo tatizo?
 
Je! Hii sera yenu ya elimu, ikiwapendeza CCM wakaitekeleza baada ya kushinda 2020, kuna haja ya CHADEMA tena? Kumbuka 2015 kuna zenu zilizotekelezwa na CCM!
Kuna haja ya kuendelea na watu wale wale na wenye akili ile ile iliyotengeneza tatizo tukiamini wanaweza kulitatua hilo tatizo?
 
Kweli tuna mitaala outdated, tujikite kwenye vocation education, ili mtoto akimaliza STD 7 Kama atashinda kuendelea aweze kujiajiri au kuajirika, vivyo hivyo kwa form IV ,na FormVI

Mi namshauri Lisu badala ya kununua ndege tujenge vVETA kila kata nchi nzima

Pia turudishe au tujenge Tena Technical college kila mkoa, zilizokuwepo wanasiasa eti wamezigeuza University za theories

Elimu iwe Ni pyramidal approach, ili wengi wanaodrop primary level tayari Wana vocational skilis za kuishi, then wanaodrop form fourvivyo hivyo, wachache wanaodrop form six Hao nao wanaenda vyuo vya Kati kupata skills, halafu ile cream ndo tunaipeleka university
mkuu hili la kujenga veta kila wilaya tushamalizana nalo, fedha zipo ni mkopo kutoka world bank, mradi umechelewa kutokana na pingamizi la zitto ngoja tumalizane nae kwanza kwenye sanduku la kura, maboresho ya elimu yako mezani tayari kuna zaidi ya 1trl kwa kazi hiyo ondoa shaka kabisa, sasa hivi tunawaza tutakamilishaje SGR Nyerere power plant, hayo ya elimu ataahidi prof ndalichako wakati wa kampeni
 
Beberu hana sera kabisa. Sera zake hazina mashiko anataka kutoa bima bure kwa kila mtu, kuongeza mishahara, kupunguza kodi, elimu bure mpaka chuo Kikuu. Kwa bajeti ipi.

Magufuli anatukamua wafanyabiashara anakomaa na sisi lakini wapi bado mambo yamemgomea. Ila kwa sehemu amejitahidi na sisi tunaona kuna mwanga.

Huyo jamaa wenu lissu hamna kitu.
 
Ungepata nafasi ya kusafiri kidogo au kusoma nje ya Africa, labda ungeelewa zaidi! Ili kutatua tatizo tunaitaji nguvu na akili kubwa kuliko ile iliyo tengeneza tatizo hilo! Kuna zaidi ya hicho unacho fahamu, tunaweza kujiondoa kwenye huu mfumo duni. Maendeleo ni hatua na huwezi kupata mafanikio zaidi kwa kurudia kitu kile kile! Kwa sasa kuna mkwamo wa fikra, tunaitaji akili mpya, Tundu Lisu ni mpango wa Mungu!

ndo maana nakwambia you need much knowledge, muache kukurupuka! hakuna namna unaweza badilisha mfumo wa elimu kwa sababu hajatengenezwa na wafrika na haiwezekani kutengenezwa na waafrika! lazima kue na mapinduzi makubwa ya mfumo mzima wa maisha, apa nkimaanisha tuache kutumia bidhaa karibia zote na tuanze moja kulima tukienda na style yetu ya maisha which is impossible, kwa kifupi you need to dig more you still have alot to learn
 
Sawa, nakubali kwamba itabidi tubadili mfumo mzima wa maisha na kwamba I have a lot to learn! Nipo tayari, Wewe kalime Sisi tutashughulikia elimu!
 
Beberu hana sera kabisa. Sera zake hazina mashiko anataka kutoa bima bure kwa kila mtu, kuongeza mishahara, kupunguza kodi, elimu bure mpaka chuo Kikuu. Kwa bajeti ipi.

Magufuli anatukamua wafanyabiashara anakomaa na sisi lakini wapi bado mambo yamemgomea. Ila kwa sehemu amejitahidi na sisi tunaona kuna mwanga.

Huyo jamaa wenu lissu hamna kitu.
Beberu hana sera kabisa. Sera zake hazina mashiko anataka kutoa bima bure kwa kila mtu, kuongeza mishahara, kupunguza kodi, elimu bure mpaka chuo Kikuu. Kwa bajeti ipi.

Magufuli anatukamua wafanyabiashara anakomaa na sisi lakini wapi bado mambo yamemgomea. Ila kwa sehemu amejitahidi na sisi tunaona kuna mwanga.

Huyo jamaa wenu lissu hamna kitu.
Kwa hiyo kwenye ile T1.5 iliyomwondoa CAG kazini, na wewe ulikamuliwa pia?!
 
Sawa, nakubali kwamba itabidi tubadili mfumo mzima wa maisha na kwamba I have a lot to learn! Nipo tayari, Wewe kalime Sisi tutashughulikia elimu!

kaanze kulima kwanza maaana huna idea ata nn umuhimu wa syllabus
 
kaanze kulima kwanza maaana huna idea ata nn umuhimu wa syllabus
Tutaboresha elimu yetu hatua kwa hatua, watu wenye fixed mindset kama Wewe, ambao wamesha kariri maisha Kwa sababu ya mfumo dhaifu wa elimu, itabidi waone ndiyo waamini. Nimesoma zaidi ya nchi moja, Africa na nje ya Africa, nina uelewa wa mifumo mbalimbali ya elimu. Lakini swala Hapa ni zaidi ya mimi na wewe, ni mustakabali wa nchi yetu, kizazi cha sasa na badaye. Hata huu mfumo wa elimu leo, ni tofauti na mfumo wa elimu wa miaka ya nyuma! Kuna mabadiliko yamewai kufanyika, na yataendelea kufanyika, na CHADEMA, au na wengine.
 
Mfumo Bora wa elimu ulikuwa Ni ule wa mkoloni kufundisha vitendo ili watu wazalishe. Na sio huu wa ccm kuingiza siasa za kuwatukuza watawala kila eneo kwa kuwakaririsha wanafunzi, eti anayekariri vizuri ndie upewa alama A na kupewa mkopo akimaliza anarudi kusubiria ajira
 
CCM mwaka huu hawana hoja wamebakia kusifia ndege zilizonunuliwa kifisadi.
@pascal mayalla ambae alikuwa mwenye msimamo wa kutetea separation of power Leo nae kwishney. Ila lissu ni sauti ya Mungu yaani mfu amekuja kuleta onyo kama kipindi cha sodoma tukikaidi kwisha kabisa
 
Tundu Lissu na team nzima ya Chadema leo wameongea vizuri sana. Kila mtu huku mtaani anasifia madini yaliyotolewa Segerea. Good job. Sasa mwendo ni huo huo. Kutema sera na kutafsiri uozo uliofanyika miaka 5 wananchi wazidi kupata hasira. Huku kitaa kura zote ni kwa Lissu.

#KuraKwaLissuKulaKwaMataga
 
Kwa hili namuunga mkono kwa asilimia zote!!

Mfumo wa elimu tunaouhitaji ni wa kuwawezesha watu kuwa na practical skills kwa kiasi kikubwa!

Hatuhitaji elimu za mkwawa alifia bwawa gani, sijui mzungu wa kwanza anaitwa nani!! Elimu ya kipumbavu sana!

Fumua kabisa huu ugonjwa wote wa akina ndalichako!

Sio tu elimu. Kila sera na ahadi zao Chadema zimekwenda shule. Hakika Lissu ndio Rais tumtakaye.
 
Back
Top Bottom