Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ulirudishwa kwa ufisadi sasa utakoma kuringa maana kesi dhidi yako inaandaliwa! Watu kama wewe mnatumainiwa na serikali na kuwekwa nchi za nje kisha mnaaibisha watanzania.... grrrrr
Good points, bado CHADEMA hawajashika usukani kwa hiyo issue zao sio nzito kama zile zilizoibuliwa na Slaa, Zito na wengine. Vile vile sio guarantee kwamba watashinda uchaguzi ujao.
Tatizo ni hawa vibaka ambao wanakula pesa ya walipa kodi kwa ridhaa ya CCM.
bi mdogo kumbe na wewe unajua? utamkimbiza dada wa watu. Mwache atetee unga wake; anayetetea mafisadi na yeye ni fisadi. Haya carry on.
Mimi nimekuuliza swali rahisi sana lakini naona unakimbia kama vile sijui nini. Nimekuomba utaje majina ya wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA, kisha utaje mikoa au makabila yao maana mimi sina utaalamu huo wa kujua hili.
Simple and clear
Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
Good points, bado CHADEMA hawajashika usukani kwa hiyo issue zao sio nzito kama zile zilizoibuliwa na Slaa, Zito na wengine. Vile vile sio guarantee kwamba watashinda uchaguzi ujao.
Tatizo ni hawa vibaka ambao wanakula pesa ya walipa kodi kwa ridhaa ya CCM.
Dua,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CCM kuna uozo mkubwa unaotuhitaji tupambane nao, whether tuwe wana CHADEMA, CCM, TLP au hata NOTHING. Lakini tusiwaachie wale tunaotegemea kuwaondoa CCM madarakani wakaingia wakiwa hawajanawa mikono. Tusije tukawa kama Zambia walipompa nchi Chiluba. Ghana, Yes, a good example.
hapa sasa ndipo umeingia kwenye mtego niliokutega, Watatu kati ya hao unaotaja kuwa wametoka Kilimanjaro sio wa kutoka Kilimanjaro hata kidogo. Ni wakazi wa Dar es salaam na miaka yote wamefanya maisha yao kama wakazi wa Dar es salaam.
Ungesema kuwa Dar es salaam imependelewa ningekuelewa ila kwa hili la kusema Kilimanjaro umechemsha big tyme.
Leta lingine kwa vile hili sio hoja...
Next ......
MwK,
Kwii! kwii! kwiiiiiii!!
Umenifurahisha kweli. Kama huo ndio mtego uliokuwa unatega, tafuta mwingine maana ni wa kitoto na mtandaoni naona watakuwa wanashika mbavu zao kwa kicheko.
Wabunge wa TZ karibu wote 200 na ushee, makazi yao ni nje ya maeneo yao ya asili au hata nje ya majimbo yao, ambako uadilifu wao ndio uliko. Wengi wanaishi Dar, hata Pinda jimboni kwake anatembelea tu.
Mwanakijiji yeye kaweka makao yake US, lakini bado ni mTZ mkereketwa, na akipewa ubunge "wa kuteuliwa", hataiwakilisha US.
Kwa hiyo hao watatu unaosema kuwa wamejikita Dar, ni kwa maslahi tu, lakini wakati wa kuchagua ukifika, inaeleweka wapi roho zao zitalala. Au labda utupe maelezo zaidi ya jinsi ya hawa Kilimanjaro-line watakavyopigania openely au kichinichini, maslahi ya Mbeya, Mtwara, Dodoma n.k., wasipopajua, kabla ya Kilimanjaro ambako sio ajabu roho zao ndio zitapumzikia. Hebu tuelezee hili kwenye next porojo, p'se.
Hapa tulipo sisi tunakucheka namna ninavyokuzungusha all over the map na kukuchezesha kama doli vile. Unajibu kile ninachotaka kwa terms zangu na kuendelea kujiabisha!
Wewe endelea na explosions mkuu...... hapa ndio kwanza nimeanza hii game! Wanaccm wote wamekuacha uendelee kujiabisha na miye kama kawaida yangu nakuvuruga ninavyopenda.
Masilahi gani hayo unayosema? Nilikwambia kuwa una kiroho cha chuki za kikabila na sasa mwenyewe unathibitisha hapa kabisaaa.
Yaani Tanzania ni moja na watanzania wanajenga na kuishi popote pale wanapotaka lakini wewe kwa mtizamo wako ukipewa nafasi ya kuongoza nchi utajali "asili yako"?
Mimi nimekuuliza swali rahisi sana lakini naona unakimbia kama vile sijui nini. Nimekuomba utaje majina ya wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA, kisha utaje mikoa au makabila yao maana mimi sina utaalamu huo wa kujua hili.
Simple and clear
Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Others
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi hasa wanachama na wapenzi wanapolalamika??
KubwaJ said:Dua,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CCM kuna uozo mkubwa unaotuhitaji tupambane nao, whether tuwe wana CHADEMA, CCM, TLP au hata NOTHING. Lakini tusiwaachie wale tunaotegemea kuwaondoa CCM madarakani wakaingia wakiwa hawajanawa mikono. Tusije tukawa kama Zambia walipompa nchi Chiluba. Ghana, Yes, a good example.
Wewe unachuki za kikabila ambazo zitakufanya utetee sisiemu kwa chochote kile mkuu. Katika hili jenga credibility kwanza maana unatia aibu!
Ndugu, Wana-Jf hoja ya Mzee Yusuf Halimoja inazidi kutupa mwanga juu ya chama ambacho tumekuwa tukitumia muda na akili zetu kuamini kuwa ni chama mbadala kwa CCM hususan kwa upande wa Tanzania bara mara baada ya vyama vilivyokuwa na nguvu ( NCCR mageuzi na TLP) kupoteza mwelekeo. Leo hii Halimoja anatuasa kwamba hatuna budi kukimulika CHADEMA kabla hatujaamua kukikabidhi nchi.
Wana-Jf wengi tumelalamika kuhusu CCM na Serikali yake na naona bado tunafanya makosa yale yale ya kukosoa chama cha siasa kinapofika Ikulu. Makosa haya hayajatusaidia wengi wakati wa kupiga kura kukichagua chama kilicho bora zaidi kuongoza nchi.
Kimsingi, wenzetu huko Ulaya na Amerika wana kawaida ya kuchunguza kwa kina tabia na mwenendo wa vyama na wagombea wake. Hali hii imewasaidia kuchagua chama na viongozi safi wanaoweza kutetea maslahi ya taifa.
Ni kweli kwamba, pamoja na CHADEMA kuonekana ni chama imara, upo ushahidi dhahiri kuwa kina matatizo makubwa kiungozi na ufisadi hasa katika ofisi za makao makuu yake ambayo ndio Ikulu ya Mwenyekiti MBOWE. Mzee Halimoja amesita kusema bayana ukabila uliopo katika chama hicho. Ukweli ni kwamba Uchaga ndio umetawala CHADEMA. Nafasi nyingi muhimu na nyeti za chama hicho ziko chini ya Wachaga, kabila analotoka MBOWE. Ni ukweli kwamba kati ya wabunge sita wa viti maalum wa CHADEMA wanatoka mkoa wa Kilimanjaro na tukifahamu kwamba Tanzania ina mikoa 26 hivi sasa. Je kama hiki chama ni cha watanzania wote MBOWE haoni hapa kuna walakini?!!!! Laiti ingekuwa ni viti vya majimbo ya mkoa wa Kilimanjaro isingekuwa jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa sababu ni viti maalum ambavyo vinatakiwa kutawanywa zaidi ya mkoa wa Kilimanjaro. Chama kinachotaka kuungwa mkono na watanzania wote hakina budi kupiga vita ukabila, udini, ubaguzi wa jinsia na rangi ili kikubalike katika nchi nzima.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanakiri kwamba, Rais KIKWETE amejaribu kuzingatia uwiano wa kikanda alipoteua Baraza la Mawaziri ingawa siyo rahisi kuteua waziri kutoka kila mkoa. Baraza la mawaziri ambalo ni chombo cha juu cha maamuzi serikalini lina sura hiyo wakati MBOWE anaruhusu nafasi nyingi muhimu za maamuzi katika CHADEMA kuwa ni za wachaga. Suala hili ndilo lilikuwa kikwazo kikubwa cha CHACHA WANGWE wakati anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hususan mtazamo wake na kauli mbiu yake ya kusafisha ufisadi na ukabila ndani ya CHADEMA makao makuu.
.. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.

…….. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.
Kama Busara zenyewe ndiyo hizi basi kuna shuda kubwa ya kuitwa mzee wa Busara .Unaongea hadithi na unapingana na facts ziliko hapa ? umesoma ama umekurupuka ?Ongea kwa data wewe wacha kuelezea hadithi.Uchaga elezea badala ya kusema inasemekana .na mengine yote weka data hapa .
Ndugu, Wana-Jf hoja ya Mzee Yusuf Halimoja inazidi kutupa mwanga juu ya chama ambacho tumekuwa tukitumia muda na akili zetu kuamini kuwa ni chama mbadala kwa CCM hususan kwa upande wa Tanzania bara mara baada ya vyama vilivyokuwa na nguvu ( NCCR mageuzi na TLP) kupoteza mwelekeo. Leo hii Halimoja anatuasa kwamba hatuna budi kukimulika CHADEMA kabla hatujaamua kukikabidhi nchi.
Wana-Jf wengi tumelalamika kuhusu CCM na Serikali yake na naona bado tunafanya makosa yale yale ya kukosoa chama cha siasa kinapofika Ikulu. Makosa haya hayajatusaidia wengi wakati wa kupiga kura kukichagua chama kilicho bora zaidi kuongoza nchi.
Kimsingi, wenzetu huko Ulaya na Amerika wana kawaida ya kuchunguza kwa kina tabia na mwenendo wa vyama na wagombea wake. Hali hii imewasaidia kuchagua chama na viongozi safi wanaoweza kutetea maslahi ya taifa.
Ni kweli kwamba, pamoja na CHADEMA kuonekana ni chama imara, upo ushahidi dhahiri kuwa kina matatizo makubwa kiungozi na ufisadi hasa katika ofisi za makao makuu yake ambayo ndio Ikulu ya Mwenyekiti MBOWE. Mzee Halimoja amesita kusema bayana ukabila uliopo katika chama hicho. Ukweli ni kwamba Uchaga ndio umetawala CHADEMA. Nafasi nyingi muhimu na nyeti za chama hicho ziko chini ya Wachaga, kabila analotoka MBOWE. Ni ukweli kwamba kati ya wabunge sita wa viti maalum wa CHADEMA wanatoka mkoa wa Kilimanjaro na tukifahamu kwamba Tanzania ina mikoa 26 hivi sasa. Je kama hiki chama ni cha watanzania wote MBOWE haoni hapa kuna walakini?!!!! Laiti ingekuwa ni viti vya majimbo ya mkoa wa Kilimanjaro isingekuwa jambo la ajabu lakini ni ajabu kwa sababu ni viti maalum ambavyo vinatakiwa kutawanywa zaidi ya mkoa wa Kilimanjaro. Chama kinachotaka kuungwa mkono na watanzania wote hakina budi kupiga vita ukabila, udini, ubaguzi wa jinsia na rangi ili kikubalike katika nchi nzima.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanakiri kwamba, Rais KIKWETE amejaribu kuzingatia uwiano wa kikanda alipoteua Baraza la Mawaziri ingawa siyo rahisi kuteua waziri kutoka kila mkoa. Baraza la mawaziri ambalo ni chombo cha juu cha maamuzi serikalini lina sura hiyo wakati MBOWE anaruhusu nafasi nyingi muhimu za maamuzi katika CHADEMA kuwa ni za wachaga. Suala hili ndilo lilikuwa kikwazo kikubwa cha CHACHA WANGWE wakati anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA hususan mtazamo wake na kauli mbiu yake ya kusafisha ufisadi na ukabila ndani ya CHADEMA makao makuu.
.. Yusuf Halimoja ameleta changamoto mpya ambayo kwayo tunapaswa kujiuliza, je badala ya CCM ni chama kipi kinaonyesha kukidhi mahitaji ya watanzania? Kama kipo basi tukimulike mapema kabla hatujakipeleka Ikulu.
Mwafrika wa Kike,
Simple and clear uliyoitaka hii hapa. 4 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line. Nasubiri uzue jingine.
Mhe. Maulidah Anna Komu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
??[/COLOR][/SIZE][/B]
Nikitumia nadharia yako ya "Chombo cha Juu ya Maamuzi", na mfano wako wa Baraza la Mawaziri la Kikwete:
- Chombo cha juu kabisa ni mkutano mkuu ambao umejaa watu wenye asili ya Kigoma.
-Chombo kinachofuata ni baraza kuu ambalo sijui kabila gani ni wengi zaidi lakini nina hakika si wachaga, given mkutano mkuu tayari wengi ni wenye asili ya Kigoma na wajumbe wote wa baraza kuu wanaingia mkutano mkuu.
-Chombo kinachofuatwa na chenye nguvu na mara nyingi huamua mambo mengi kuliko mkutano mkuu ni Kamati Kuu ambayo nayo wenye asili ya Kigoma ni wengi zaidi. Wachaga ni Mbowe, Mtei, Lyimo na Mbunge Kiwelu pekee.
-Chombo cha utendaji wa kila siku ambacho ndio kama baraza la mawaziri; sekretariati ya chama taifa ambacho ndio makao makuu ya chama kimejaa wasukuma wakina Mnyika, Tumbo, Shija, Sabula nk. Hata Msafiri Mtemelwa ana asili ya Tabora pamoja na kuwa mzazi wake mmoja ni wa rufiji. Na mtaona nimeona kwenye habari moja kwamba sasa yuko Urambo jimbo la Samuel Sitta akijijenga kisiasa kwa ajili ya kumng'oa 2010. Kwa hiyo wachaga wananguvu gani hapo?
Hao wabunge wa viti maalumu ni chombo gani cha maamuzi zaidi ya kuwa wabunge?
Jina lako la kizee linahitaji useme mambo kwa busara jamani.
Asha
Nimesoma maoni yote. Asante
JJ