CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

asante ya nini ? umekubali udikteta wa chadema au ?

Mkuu Hesima mbele.
Kaka huonekani, umepotea
Karibu sana kwenye jamvi, kuna kahawa imeisha ulikuwa haujafika lakini usijali inatengenezwa nyingine tutashiriki pamoja.
 
asante ya nini ? umekubali udikteta wa chadema au ?
Mkuu kuna mjadala wa Dr. Siraa kugombea uraisi, naomba comment zako maana sisi wote tunaangalia upande mmoja lakini naamini kuwa wewe utaangalia upande wa pili na kutufungua macho sisi tuliolala kuusiana na upande wa pili wa Dr. Siraa
 
Mkuu kuna mjadala wa Dr. Siraa kugombea uraisi, naomba comment zako maana sisi wote tunaangalia upande mmoja lakini naamini kuwa wewe utaangalia upande wa pili na kutufungua macho sisi tuliolala kuusiana na upande wa pili wa Dr. Siraa

babu subiri huo mjadala nitaenda kuuangalia rasmi kesho, kwa hiyo wale waliokuwa wananenepa wakati sipo nadhani nitakutana nao huko !
 
Mkuu Hesima mbele.
Kaka huonekani, umepotea
Karibu sana kwenye jamvi, kuna kahawa imeisha ulikuwa haujafika lakini usijali inatengenezwa nyingine tutashiriki pamoja.

injini moh'd nilimuachia mikoba yote na nadhani "hakufanya" vile nilivyokuwa nategemea, imenibidi nije. kama hiyo kahawa kapika injinia moh'd mie sitaki bana, ameniudhi kweli kweli !

nakuja kunywa !
 
Off couse chadema ina kasoro, lakini kwa sasa ndio angalao chama chenye pecentage ya watu wengi wenye sauti ndani ya chama chao, nisingependa kulinganisha na chama ambacho hata katibu mkuu hana sauti
 


Asha,
Kwa kuongezea tu ni kuwa, kati ya wabunge 6 wa kuteuliwa, ni 5 walio na asili ya Kilimanjaro. Lucy Owenya naye ni wa Kilimanjaro (mtoto wa Ndesamburo), huwa tunamsahau mara kwa mara. Muhimu ni kukubali kuwa kuna element za kikabila ndani ya CHADEMA, either iwe Ki-Kilimanjaro, Ki-Kigoma au vyovyote vile, hiyo sio demokrasia. Haya yanahitaji kukarabatiwa haraka iwezekanavyo ili chama kisije kikameguka. Mama Komu ni wa Kilimanjaro, ameandika mwenyewe hivyo, na ndio maana kalipenda jina la Komu. Hayo mengine ni porojo za kutetea huu uvundo na hakuna uthibitisho.


Naiweka tena hii list ili ionekane wazi. Wabunge 5 out of 6 "wa kuteuliwa" ni Kilimanjaro-line.
 




MwK,
Jibu hoja, ikikushinda ingia mitini kama ulivyofanya hapo awali. Lakini usitukane mtu kwa vile tu ana mawazo tofauti.
 
Dua,
Shukuran kutufungua macho... kama hili lina ukweli basi nadhani Chadema wataweza kulifanyia kazi unless kuna sababu muhimu ya kutofanya hivyo...Hasa tukizingatia kuwa hawa wote ni kina Mama na hatufahamu wapo wangapi ndani ya uongozi wa Chadema.
Pili, yawezekana pia kuwa sehemu wanazo wakilisha ndizo zinahusiana na makazi yao badala ya kabila..
Tatu, ningeomba kama utaweza kutupa makabila yao (mathalan Mchagga wa Machame)badala ya kutumia neno Kilimanjaro!
 

Mkuu Mkandara,
Hili ndio nililokuwa ninalipigia kelele, kuwa Chadema waliangalie na kulishugulikia. Lakini unaposema hivyo, wengine huchukulia ushabiki na kutoangalia tatizo lenyewe. Chadema ina future nzuri kwani imepata umaarufu, kinachotakiwa hivi sasa ni kukiondoa kwenye control ya wachache na kukifanya chama cha wote. Otherwise yale yaliyoifika NCCR ya Mrema, yatajirudia tena.
 


Nadhani sasa Komu aondolewe kwa uchaga .Maana Komu kwao ni Zanzibar na alikuwa Mgombea mwenza toka Zanzibar sheria inaruhusu hili .Anna Kilango ni Same lakini anaishi Dodoma kwa mumewe na hili sioni tatizo hadi Komu awe mchaga .

Nafasi zingine nadhani tuwe makini na kujua vigezo vya Chadema kabka hatujaanza kulaumu .
 

Sikuanzisha Thread hii kama ugomvi dhidi ya wachaga bali changamoto kwa wanaChadema.
samahani sana mie sifanyi kazi Foreign kama unavyolazimisha.
 

LUCY OWENYA.
Ni mtoto wa Ndasamburo hivyo jumla wanakuwa wabunge watano toka kilimanjaro.
 

Mhonga Said ni ********* Mwenyekiti wa Chadema Taifa.unaweza kusema kuwa rushwa ya ndio imempa ubunge.
 

Huwezi kumuondoa Mama Komu maana hata ila tunaweza kuweka Kilimanjaro*. Kilichofanyika hapa ni kwa kutoa hizi zafasi za ubunge kwa wanafamilia, wanakilimanjaro au close symphthisers wa wanaKilimanjaro. Sidhani kama chama kikiwa na muundo kama huu kitafaa kui-replace CCM. CHADEMA has to change first.
 
Mhonga Said ni godoro la Mwenyekiti wa Chadema Taifa.unaweza kusema kuwa rushwa ya ngono ndio imempa ubunge.

here we go again Kifimbo .Muhongwa ********* Cheimani .Je mwenyekiti ndiye aliyekuwa na maamuzi pekee ya kuwateua hawa ama ni Chama ? Yaani akina Slaa wote walidiwa nguvu na Mbowe ? Kama kuna maeneo ambayo hayapokei upinzani na hayana watu wa kuweza kuchukua nafasi bado wakachukulie mtaani ?Watu wote hawa wana historia na Chama .Hebu muone Mdee na Zitto kwa mfano .
 

KJ.
Lunyungu ni ***** haelewi kuwa DEWJI ni mbunge wa singida atasema ni mhindi,au Rostam Aziz kuwa ni mpenzi wa Tabora.
na ameshindwa kuelewa kuwa kuna uraia by naturalasation sio lazima kuzaliwa.

inawezekana mama Kommu nae yuko hivyo kwani hata jina lake la kuzaliwa anajiita ANNE badala ya Maulida.Maghimbi hakai KILIMANJARO na hajabadili jina lake la mwanzo wala dini yake kama ANNE KOMMU.

mfano wa kampuni ya mkapa ya Kiwira ambapo wakurugenzi ni watu wa kilimanjaro watupu na huku Mkapa mwenyewe akiwa hana sauti sio akajabu maamuzi yake yakawa influenced na wana Kilimanjaro.
 

Ndesamburo sio chairman na kaweza kumuweka mtoto wake kuwa mbunge

jee mhonga wakati anaingia ubunge alikuwa mke wa mtu na sasa ana mume gani?
 


Lunyu,
Umegusa kabisa kiini cha malalamiko, kuwa kuna wahusika ambao wana nguvu sana kwenye Chadema kiasi cha kuwapatia vibarua wapenzi wao, watoto wao, shemeji zao n.k.

Msisimko ulioletwa na vijana kama Zitto na Mdee ni mkubwa na unahitaji kudumishwa kwani umewavuta watu wengi kuingia au kushabikia Chadema, hasa vijana. Hii ndio maana ni muhimu sana kwa CHADEMA kujiangalia upya na kuondoa haya makunyanzi ambayo yanaweza yakakigawa chama.
 
Mhonga Said unaweza kusema kuwa rushwa ya ngono ndio imempa ubunge.

Na wewe mbona ni ******* ya RO na umekuja kumtetea; kila mtu anajua na wewe ni****** RO na JK tangu ukiwa UK na hakuna anayesema kitu? Ni rushwa ya ngono ndio imekufikisha hapo. Ukinyoshea wengine kidole kimoja angalia vinne visikunyoshee wewe.

Wewe ndio mkabila namba moja humu.

Asante.
 

wapi nimetetea JK? soma pstings zangu,********mbowe, unanifanya nikichukie chama cha chadema kuwa na wafuasi wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…