Haswaa,Ngoja. Nikaitupe line ya Airtel
Aya makampuni yamezidi upumbavu , waburuzwe mahakamaniChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania tangu tarehe 19 Januari 2026.
Baada ya kufanya mawasiliano na uongozi wa Airtel, wamegoma kueleza kwanini wameifungia namba hiyo badala yake wamesema wanamtaka muhusika kufika katika ofisi zao popote nchini.
Hatua ya kumtaka mtu kufika kwenye ofisi zao inashangaza kwani kampuni hiyo imekuwa ikihamasisha huduma za kidijitali kwa wateja wake, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa watu katika matawi yao.
Chadema inalani vikali kitendo hiki na kuitaka Airtel Tanzania kuacha kujihusisha au kutumiwa na mifumo ya kisiasa kukandamiza demokrasia na kukiuka haki za raia.
Aidha, tunasisitiza umuhimu wa kampuni hiyo kulinda faragha na haki za watumiaji wa huduma zake.
Pili, tunaitaka Airtel Tanzania kufungua mara moja akaunti hiyo ya Airtel Money, kwani kuchangisha michango kwa uwazi kwa madhumuni halali si kosa.
Taifa linafahamu vyema lengo la michango hiyo na hakuna sababu ya msingi ya kuzuia shughuli hiyo ya kidemokrasia.
Chadema itaendelea kupigania haki, uwazi na demokrasia bila woga wala kuyumba.
fanya chapNgoja. Nikaitupe line ya Airtel
juzi nmeskia mtu anasema njia pekee ni kususia nchi 🤣 🤣 🤣 wamegoma kula kwa sababuya VATHaswaa,
Kuna haja ya kususia washirika na machawa wote wa wauaji ccm
Msiba wa Mzee Mtei unasimamiwa na Chadema?fanya chap
- stakehigh
- chadema michango msibani sahihi vurugu
- Replies: 37
- Forum: Jukwaa la Siasa
uko nyuma sana, watu washapiga mdaMsiba wa Mzee Mtei unasimamiwa na Chadema?
Lini Chadema walichangisha pesa Kwa ajili ya msiba wa Mzee Mtei?
Me mwanachama wa Chadema inakuwaje sijui, ujue wewe chawa wa mboga mbogauko nyuma sana, watu washapiga mda
shauri yako, video hio apo watu wakishikana mashatiMe mwanachama wa Chadema inakuwaje sijui, ujue wewe chawa wa mboga mboga
Huwezi kuichafua chadema mremboshauri yako, video hio apo watu wakishikana mashati
shauri yakoHuwezi kuichafua chadema mrembo
kuna mtandao hauko chini ya TCRA?Kwanini Spokesperson wa Chama anatumia mtandao wa Airtel ambao uko owned 49% na Serikali?
Mitandao Ina Comply na standards za Regulator ambae ni TCRA ila hao Kabacholi Airtel ni Kutii maelekezo tu Bila haya
Hawa Chadema wanaanza kutupa wasi Wasi sasa, Airtel inajulikana Kuwa Iko owned na Government iweje wachague kama namba kuu ya Kukusanya iyo michango?Sema Chadema wajitathimini asee. Unaanzaje kutumia Airtel?
kwan mitandao mingine serikali haisimamii? hizo ni cheap politicsHawa Chadema wanaanza kutupa wasi Wasi sasa, Airtel inajulikana Kuwa Iko owned na Government iweje wachague kama namba kuu ya Kukusanya iyo michango?
NIsome Tena Vizuri, Regulator yupo kote isipokuwa Kuna mitandao ni ngumu Kufanya twisting kwasababu majority wako owned na Kampuni kubwa za nje ambazo Kuna namna Fulani hata TCRA hawezi kuwazingua kama atakavyomzingua Airtel, TTC au Zantelkuna mtandao hauko chini ya TCRA?