Lakini wewe binafsi unaona ni sawa Serikali kunyanyasa wapinzani?kwan nlichokua naelezea apo juu ulikua huelewi au
Tume ya ushindani FCC wakipata hizi habari wanawe tarnish image ya airtelHii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.
Refusal to supply service ni kosa kwenye fair competition, mteja lazima alindwe.
Hata vodacom ilitumika kufanikisha utekaji wa kabendera.
Kuna taasisi inabidi katiba mpya na sheria zake izifute tu moja wapo ni hii FCC.
hakuna mtandao giant tanzania 🤣 🤣 zote zinatii mamlakaMkuu mitandao ya simu yote Iko Chini ya Regulator ambae ni Mamlaka ya mawasiliano TCRA, Ila Kuna namna Fulani Hawa regulator the way wata twist Airtel au TTCL ni tofauti na the way wata twist Vodacom au Yas, Kuna careful consideration Wanapo deal na hao giant kama Voda
Duh kwahiyo "Eatel" na hawa watekaji na wauwaji lao moja ?Duh,
Hiyo itakuwa ni maelekezo kutoka juu, kwa watekaji, wauaji
Fools are in controlHii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.
Refusal to supply service ni kosa kwenye fair competition, mteja lazima alindwe.
Hata vodacom ilitumika kufanikisha utekaji wa kabendera.
Kuna taasisi inabidi katiba mpya na sheria zake izifute tu moja wapo ni hii FCC.
kosa letu ni lipi? umekataa mwenyewe kwenda kwenye uchaguziLakini wewe binafsi unaona ni sawa Serikali kunyanyasa wapinzani?
Hii nchi ya Vyama vingi, Kwa hiyo Iko wazi laZima wote hatuwezi kuwa CCM.
Kwanini hao viongozi wanakosa hekima
ushachangia mchango mpya?Fools are in control
Naendaje kwenye uchaguzi bila reforms.kosa letu ni lipi? umekataa mwenyewe kwenda kwenye uchaguzi
ideology za reforms hazina mashiko, ungeenda kwenye uchaguzi kwanza alafu utoke na ushahidi ndo utaeleweka sasa wewe hujaenda ushaanza kulalamika, uzuri vyama vingine viliingiaNaendaje kwenye uchaguzi bila reforms.
Wewe kafanye uchaguzi na Vyama vyako vya kuchaji
Kwani sis chadema tumeshiriki chaguzi ngapi?ideology za reforms hazina mashiko, ungeenda kwenye uchaguzi kwanza alafu utoke na ushahidi ndo utaeleweka sasa wewe hujaenda ushaanza kulalamika, uzuri vyama vingine viliingia
sasa uchaguzi huu ni mpya mlitakiwa muingie ndo mtumie kama reference kwamba uchaguzi uliopita haya ndo yalitokea, ukitumia uchaguzi zilizopita sisi tunaweza kusema malalamiko yote tulishayafanyia kazi, utajitetea vp na hukuingia kwenye uchaguziKwani sis chadema tumeshiriki chaguzi ngapi?
Mliiba uchaguzi wa serikali za mtaa mkajipa ushindi 💯 mitaa na vijiji vyote TANZANIA.
Na kutumia tume kukata majina ya wagombea wa Chadema na kuiba uchaguzi
Bila shaka utatuambia ni kwa ajili ya dua za nani?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania tangu tarehe 19 Januari 2026.
Baada ya kufanya mawasiliano na uongozi wa Airtel, wamegoma kueleza kwanini wameifungia namba hiyo badala yake wamesema wanamtaka muhusika kufika katika ofisi zao popote nchini.
Hatua ya kumtaka mtu kufika kwenye ofisi zao inashangaza kwani kampuni hiyo imekuwa ikihamasisha huduma za kidijitali kwa wateja wake, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa watu katika matawi yao.
Chadema inalani vikali kitendo hiki na kuitaka Airtel Tanzania kuacha kujihusisha au kutumiwa na mifumo ya kisiasa kukandamiza demokrasia na kukiuka haki za raia.
Aidha, tunasisitiza umuhimu wa kampuni hiyo kulinda faragha na haki za watumiaji wa huduma zake.
Pili, tunaitaka Airtel Tanzania kufungua mara moja akaunti hiyo ya Airtel Money, kwani kuchangisha michango kwa uwazi kwa madhumuni halali si kosa.
Taifa linafahamu vyema lengo la michango hiyo na hakuna sababu ya msingi ya kuzuia shughuli hiyo ya kidemokrasia.
Chadema itaendelea kupigania haki, uwazi na demokrasia bila woga wala kuyumba.
Hawa jamaa wamezidiana akili kwenye msiba wa mwasisi wa chama chao?.uko timamu? unajua maana ya kusajiliwa tanzania?
Uchaguzi huu unakuwaje mpya?sasa uchaguzi huu ni mpya mlitakiwa muingie ndo mtumie kama reference kwamba uchaguzi uliopita haya ndo yalitokea, ukitumia uchaguzi zilizopita sisi tunaweza kusema malalamiko yote tulishayafanyia kazi, utajitetea vp na hukuingia kwenye uchaguzi
ianze kampeni ya kutupa line za airtel ndio dawa yaoNgoja. Nikaitupe line ya Airtel
Leo naitumbukiza chooni sim card yangu ya Airtel! Na sihitaji huduma zao Tena,nahamia zantel.Sitaki ujinga!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania tangu tarehe 19 Januari 2026.
Baada ya kufanya mawasiliano na uongozi wa Airtel, wamegoma kueleza kwanini wameifungia namba hiyo badala yake wamesema wanamtaka muhusika kufika katika ofisi zao popote nchini.
Hatua ya kumtaka mtu kufika kwenye ofisi zao inashangaza kwani kampuni hiyo imekuwa ikihamasisha huduma za kidijitali kwa wateja wake, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa watu katika matawi yao.
Chadema inalani vikali kitendo hiki na kuitaka Airtel Tanzania kuacha kujihusisha au kutumiwa na mifumo ya kisiasa kukandamiza demokrasia na kukiuka haki za raia.
Aidha, tunasisitiza umuhimu wa kampuni hiyo kulinda faragha na haki za watumiaji wa huduma zake.
Pili, tunaitaka Airtel Tanzania kufungua mara moja akaunti hiyo ya Airtel Money, kwani kuchangisha michango kwa uwazi kwa madhumuni halali si kosa.
Taifa linafahamu vyema lengo la michango hiyo na hakuna sababu ya msingi ya kuzuia shughuli hiyo ya kidemokrasia.
Chadema itaendelea kupigania haki, uwazi na demokrasia bila woga wala kuyumba.
Halafu wewe kvuma unajua unakera sana. Kama Mungu yupo halafu anaacha kukuua shetani kama wewe inafanya watu wakose imani kwakwe. Haiwezekani mijitu mikatiri kama wewe mkaendelea kuwa hai wakati tunahubiriwa Mungu anapenda haki. Kwa nini mishetani kama wewe inayopoka haki ya kuishi ya wanyonge inadunda tu?shauri yako, video hio apo watu wakishikana mashati
Inashangaza sanaHii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.