CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel

kwan nlichokua naelezea apo juu ulikua huelewi au
Lakini wewe binafsi unaona ni sawa Serikali kunyanyasa wapinzani?
Hii nchi ya Vyama vingi, Kwa hiyo Iko wazi laZima wote hatuwezi kuwa CCM.
Kwanini hao viongozi wanakosa hekima
 
Hii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.

Refusal to supply service ni kosa kwenye fair competition, mteja lazima alindwe.

Hata vodacom ilitumika kufanikisha utekaji wa kabendera.

Kuna taasisi inabidi katiba mpya na sheria zake izifute tu moja wapo ni hii FCC.
Tume ya ushindani FCC wakipata hizi habari wanawe tarnish image ya airtel

Almost even private entitites ni political influenced or driven
 
Mkuu mitandao ya simu yote Iko Chini ya Regulator ambae ni Mamlaka ya mawasiliano TCRA, Ila Kuna namna Fulani Hawa regulator the way wata twist Airtel au TTCL ni tofauti na the way wata twist Vodacom au Yas, Kuna careful consideration Wanapo deal na hao giant kama Voda
hakuna mtandao giant tanzania 🤣 🤣 zote zinatii mamlaka
 
Hii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.

Refusal to supply service ni kosa kwenye fair competition, mteja lazima alindwe.

Hata vodacom ilitumika kufanikisha utekaji wa kabendera.

Kuna taasisi inabidi katiba mpya na sheria zake izifute tu moja wapo ni hii FCC.
Fools are in control
 
Lakini wewe binafsi unaona ni sawa Serikali kunyanyasa wapinzani?
Hii nchi ya Vyama vingi, Kwa hiyo Iko wazi laZima wote hatuwezi kuwa CCM.
Kwanini hao viongozi wanakosa hekima
kosa letu ni lipi? umekataa mwenyewe kwenda kwenye uchaguzi
 
Naendaje kwenye uchaguzi bila reforms.
Wewe kafanye uchaguzi na Vyama vyako vya kuchaji
ideology za reforms hazina mashiko, ungeenda kwenye uchaguzi kwanza alafu utoke na ushahidi ndo utaeleweka sasa wewe hujaenda ushaanza kulalamika, uzuri vyama vingine viliingia
 
Kwani sis chadema tumeshiriki chaguzi ngapi?
Mliiba uchaguzi wa serikali za mtaa mkajipa ushindi 💯 mitaa na vijiji vyote TANZANIA.
Na kutumia tume kukata majina ya wagombea wa Chadema na kuiba uchaguzi
 
sasa uchaguzi huu ni mpya mlitakiwa muingie ndo mtumie kama reference kwamba uchaguzi uliopita haya ndo yalitokea, ukitumia uchaguzi zilizopita sisi tunaweza kusema malalamiko yote tulishayafanyia kazi, utajitetea vp na hukuingia kwenye uchaguzi
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania tangu tarehe 19 Januari 2026.

Baada ya kufanya mawasiliano na uongozi wa Airtel, wamegoma kueleza kwanini wameifungia namba hiyo badala yake wamesema wanamtaka muhusika kufika katika ofisi zao popote nchini.

Hatua ya kumtaka mtu kufika kwenye ofisi zao inashangaza kwani kampuni hiyo imekuwa ikihamasisha huduma za kidijitali kwa wateja wake, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa watu katika matawi yao.

Chadema inalani vikali kitendo hiki na kuitaka Airtel Tanzania kuacha kujihusisha au kutumiwa na mifumo ya kisiasa kukandamiza demokrasia na kukiuka haki za raia.

Aidha, tunasisitiza umuhimu wa kampuni hiyo kulinda faragha na haki za watumiaji wa huduma zake.

Pili, tunaitaka Airtel Tanzania kufungua mara moja akaunti hiyo ya Airtel Money, kwani kuchangisha michango kwa uwazi kwa madhumuni halali si kosa.

Taifa linafahamu vyema lengo la michango hiyo na hakuna sababu ya msingi ya kuzuia shughuli hiyo ya kidemokrasia.

Chadema itaendelea kupigania haki, uwazi na demokrasia bila woga wala kuyumba.

Bila shaka utatuambia ni kwa ajili ya dua za nani?
 
sasa uchaguzi huu ni mpya mlitakiwa muingie ndo mtumie kama reference kwamba uchaguzi uliopita haya ndo yalitokea, ukitumia uchaguzi zilizopita sisi tunaweza kusema malalamiko yote tulishayafanyia kazi, utajitetea vp na hukuingia kwenye uchaguzi
Uchaguzi huu unakuwaje mpya?
Kwani reforms Zina ugumu Gani?
Nagombeaje chini ya iNEC yenye uzoefu wa kuiba kura na kubeba CCM?
iNEC inayoteuliwa na Moja ya wagombea ambao laZima walinde interest zake ikiwa ni pamoja na kumpa 98% za ushindi
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa chama, imefungiwa na kampuni ya Airtel Tanzania tangu tarehe 19 Januari 2026.

Baada ya kufanya mawasiliano na uongozi wa Airtel, wamegoma kueleza kwanini wameifungia namba hiyo badala yake wamesema wanamtaka muhusika kufika katika ofisi zao popote nchini.

Hatua ya kumtaka mtu kufika kwenye ofisi zao inashangaza kwani kampuni hiyo imekuwa ikihamasisha huduma za kidijitali kwa wateja wake, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupunguza msongamano wa watu katika matawi yao.

Chadema inalani vikali kitendo hiki na kuitaka Airtel Tanzania kuacha kujihusisha au kutumiwa na mifumo ya kisiasa kukandamiza demokrasia na kukiuka haki za raia.

Aidha, tunasisitiza umuhimu wa kampuni hiyo kulinda faragha na haki za watumiaji wa huduma zake.

Pili, tunaitaka Airtel Tanzania kufungua mara moja akaunti hiyo ya Airtel Money, kwani kuchangisha michango kwa uwazi kwa madhumuni halali si kosa.

Taifa linafahamu vyema lengo la michango hiyo na hakuna sababu ya msingi ya kuzuia shughuli hiyo ya kidemokrasia.

Chadema itaendelea kupigania haki, uwazi na demokrasia bila woga wala kuyumba.

Leo naitumbukiza chooni sim card yangu ya Airtel! Na sihitaji huduma zao Tena,nahamia zantel.Sitaki ujinga!
 
Siasa za nchini ni za kitoto sana na cku tutaelewa sisi n zaidi ya ccm au chadema ndio tutafaulu. Unakuta watu tanzania hadi kuna msiba wa ccm na chadema pumbavu kabsaa. Wenzetu kama kenya wanachambana mchana jion wanaenda kununulia chama choma na bia lakin huku mtu akiamka kazi yake ajue na chadema na cjui nani shenzi type. Tanzania ndo nchi pekee majirani au ndugu hawaongeleshani kisa flani ni mwana ccm mwingne chadema jinga wewe ati mara huyu n yanga na mwingne simba ugomvi unaanzia hapo jiulize kama unafaidi wewe kama sio kufaidisha mafisadi huko juu... Na kuhusu aitel nao wanaingia mfumo wa kijinga ambao unatoka kule juu mbuzi kasoro m.... Mimi aitel nimewapga tukio la laki mbili cjui timza sa ivi line n sms za lipa deni yaan nawaambia silipi ng'o.
 
shauri yako, video hio apo watu wakishikana mashati
Halafu wewe kvuma unajua unakera sana. Kama Mungu yupo halafu anaacha kukuua shetani kama wewe inafanya watu wakose imani kwakwe. Haiwezekani mijitu mikatiri kama wewe mkaendelea kuwa hai wakati tunahubiriwa Mungu anapenda haki. Kwa nini mishetani kama wewe inayopoka haki ya kuishi ya wanyonge inadunda tu?
 
Hii nchi ingekua na mahakama zenye kueleweka hawa jamaa ni kuwaburuza mahakamani ili wakalipishwe faini ya mabilioni. Huu utoto wa kujiingiza kwenye siasa nashangaa tume ya ushindani (FCC) ipo kimya kabisa.

Refusal to supply service ni kosa kwenye fair competition, mteja lazima alindwe.

Hata vodacom ilitumika kufanikisha utekaji wa kabendera.

Kuna taasisi inabidi katiba mpya na sheria zake izifute tu moja wapo ni hii FCC.
Inashangaza sana
 
Back
Top Bottom