Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana.

Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na serikali yake ???
Ili muwe na mafanikio na kupunguza kasi ya CCM piga uwa ni lazima muwe mna watu wenu ndani kila kona katika stage mbalimbali ,bila ya hivyo mtahisabu makumbi tu nazi wanatumia wengine.

Huwasikia viongozi wa Chadema wakisema mnalolifanya tunalijua kuiambia serikali ya Tz chini ya chama cha CCM ,ukiangalia ni tisha to CDM hamna ukweli.

Jitahidini sana sana muwe na watu wenu ndani ya ya CCM wanaweza kuwa na vyeo au wafagiaji muhimu iwe mnawakatia chao pale tu wanapowatonya ,japo sio papo kwa papo. kiluga muwe na majasusi wa uhakika ni hilo tu.
 
Jitahidi kufikiria kwanza kabla ya kuandika.
Hii itakusaidia kuwa na mtoririko mmzuri wa mawazo yako na kuleta mqqnq kwa wasomaji
 
Back
Top Bottom