Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!