CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
TUWE WAKWELI, TUSIFICHANE TUELEZANE WAZI WAZI.
KUNA BINADAMU WANAZALIWA KINYUME NA MAUMBILE ZA MAMA ZAO,
NA WANAJULIKANA KWA MATENDO NA MANENO YAO:
KWA MFANO TU:
KATIKA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NI CHAMA GANI KINA NGUVU? kati ya hivi?
-Chama cha mapinduzi (ccm)
-Civic United Front (CUF)
-National Convention for Construction and Reform - NCCR
-Union for Multiparty Democracy (UMD)
-National League for Democracy (NLD)
-United Peoples’ Democratic Party (UPDP)
-National Reconstruction Alliance (NRA)
-Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)
AU BASI,
SASA KWA NINI KILA UZI MNAONGELEA CHAMA HIKI HIKI??