Wao ni chama pekee kilicho serious.Chadema wanasema rais jana kawananga wao ,lakini ukweli ni kwamba chadema ndio chama ambacho rais Samia amekipa upendeleo sana,! Chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi.chadema walikuwa na mazungumzo Yao pekee na wakapewa kinana ! Chadema viongozi wao ndio waliokaribishwa na rais ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo! Wao wamemchukulia rais kama anawaogopa ,kumbe aliamua TU kutumia busara ! Nawaambia TU kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa Sasa wakifanya chochote watasikikizwa ,hiyo nafasi hairudi Tena! ....
Umeonaeeeeeee?Wao ni chama pekee kilicho serious.
Wao ndio pekee wanalalamikia uvunjifu wa katiba.
Wee ulitaka upendeleo apewe lipumba aliyeshiriki kt uvunjifu wa sheria akishirikiana na JPM the devil and evil??
Huna hoja mkuu
Anafikiria cdm ni sawa na ACT ya jambiani na katubukaChama cha siasa kinachojitambua kama CHADEMA hakihitaji upendeleo wa aina yoyote ili kufikia malengo yake.
Bila CHADEMA kusikilizwa,hakuna Rais atakayetawala Kwa amaniChadema wanasema rais jana kawananga wao ,lakini ukweli ni kwamba chadema ndio chama ambacho rais Samia amekipa upendeleo sana,! Chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi.chadema walikuwa na mazungumzo Yao pekee na wakapewa kinana ! Chadema viongozi wao ndio waliokaribishwa na rais ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo! Wao wamemchukulia rais kama anawaogopa ,kumbe aliamua TU kutumia busara ! Nawaambia TU kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa Sasa wakifanya chochote watasikikizwa ,hiyo nafasi hairudi Tena! ....
Atakaye pinga comment yako ni mchawiBila CHADEMA kusikilizwa,hakuna Rais atakayetawala Kwa amani
Kwa ilivyo Kwa RC kuwa na waumini wengi nchini,ndivyo ilivyo Kwa CHADEMA
Ndani ya ccm hakujawahi kuwepo na msafiUfisadi ndiyo kimbilio ambalo Samia analipendelea zaidi
View attachment 2746484
Hujitambui!!Chadema wanasema rais jana kawananga wao ,lakini ukweli ni kwamba chadema ndio chama ambacho rais Samia amekipa upendeleo sana,! Chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi.chadema walikuwa na mazungumzo Yao pekee na wakapewa kinana ! Chadema viongozi wao ndio waliokaribishwa na rais ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo! Wao wamemchukulia rais kama anawaogopa ,kumbe aliamua TU kutumia busara ! Nawaambia TU kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa Sasa wakifanya chochote watasikikizwa ,hiyo nafasi hairudi Tena! ....
Wajinga hufikiri rais anapendelea vyama akizungumza nao au akitoa nafasi ya kufanya mikutano mbona hiyo ni haki yao kikatiba?Chadema wanasema rais jana kawananga wao ,lakini ukweli ni kwamba chadema ndio chama ambacho rais Samia amekipa upendeleo sana,! Chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi.chadema walikuwa na mazungumzo Yao pekee na wakapewa kinana ! Chadema viongozi wao ndio waliokaribishwa na rais ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo! Wao wamemchukulia rais kama anawaogopa ,kumbe aliamua TU kutumia busara ! Nawaambia TU kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa Sasa wakifanya chochote watasikikizwa ,hiyo nafasi hairudi Tena! ....
CDM hawahitaji hisani ya kiongozi yoyote, na Samia anajua fika hawapendelei popote CDM, bali CCM ndio imekuwa ikipora ushindi wa CDM wazi wazi. Anachokifanya Samia ni kuwapoza CDM kwakuwa anajua ndio wenye mvuto, na wao ndio wamewapora sana ushindi wao wa halali. Anajua bila CDM kushiriki siasa za nchi hii zinadoda. Kama huamini nenda kaangalie uchaguzi mdogo wa Mbarali jinsi ulivyododa kwakuwa CDM hawashiriki.Chadema wanasema rais jana kawananga wao ,lakini ukweli ni kwamba chadema ndio chama ambacho rais Samia amekipa upendeleo sana,! Chadema walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi.chadema walikuwa na mazungumzo Yao pekee na wakapewa kinana ! Chadema viongozi wao ndio waliokaribishwa na rais ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo! Wao wamemchukulia rais kama anawaogopa ,kumbe aliamua TU kutumia busara ! Nawaambia TU kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa Sasa wakifanya chochote watasikikizwa ,hiyo nafasi hairudi Tena! ....
Mbona baada ya watu kutupa kadi za chama chenu mbona ni kama "panic mode" imewekwa on?Chadema hawabebeki
Hata yule Shujaa Magufuli aliwapenda sana wakaanza kumuita Uchwara
Wakati wa mikopo kuelekea uchaguzi watachukua nyingineMbona baada ya watu kutupa kadi za chama chenu mbona ni kama "panic mode" imewekwa on?