Hoja Yako wewe hasa Ninini zaidi ujinga na upumbavuWao ni chama pekee kilicho serious.
Wao ndio pekee wanalalamikia uvunjifu wa katiba.
Wee ulitaka upendeleo apewe lipumba aliyeshiriki kt uvunjifu wa sheria akishirikiana na JPM the devil and evil??
Huna hoja mkuu
Sio hawabebeki rais anajua ukweli ya kuwa hawezi kupata utulivu kama atawapuuza chadema.Chadema hawabebeki
Hata yule Shujaa Magufuli aliwapenda sana wakaanza kumuita Uchwara
Mama anajua kama sio wizi wa kura Chadema ndio ingekuwa madarakani, na CCM wanajua siku wakiondoka madarakani upinzani utataifisha mali zote za CCM kwani ni mali za wananchi. Chadema ndio chama cha Wanachi Fisiemu ni chama cha wachumia tumbo na mafisadi.CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
Kwani malengo ya chama ni kupata upendeleo wa dola au uungwaji mkono wa wananchi?CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
Kwa hiyio wategemee kubebwa? Aisee!Chadema hawabebeki
Hata yule Shujaa Magufuli aliwapenda sana wakaanza kumuita Uchwara
Inaonekana kijijini kwenu umesoma peke yakoCHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
Aliyekwambia Chadema wanataka wabebwe nani? Ukibebwa ni lazima ujue aliyekubeba anaweza wakati wowote kukuachia uanguke.Chadema hawabebeki
Hata yule Shujaa Magufuli aliwapenda sana wakaanza kumuita Uchwara
TUWE WAKWELI, TUSIFICHANE TUELEZANE WAZI WAZI.CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
Mti wenye matunda daima ndiyo upigwao maweTUWE WAKWELI, TUSIFICHANE TUELEZANE WAZI WAZI.
KUNA BINADAMU WANAZALIWA KINYUME NA MAUMBILE ZA MAMA ZAO,
NA WANAJULIKANA KWA MATENDO NA MANENO YAO:
KWA MFANO TU:
KATIKA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NI CHAMA GANI KINA NGUVU? kati ya hivi?
-Chama cha mapinduzi (ccm)
-Civic United Front (CUF)
-National Convention for Construction and Reform - NCCR
-Union for Multiparty Democracy (UMD)
-National League for Democracy (NLD)
-United Peoples’ Democratic Party (UPDP)
-National Reconstruction Alliance (NRA)
-Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)
AU BASI,
SASA KWA NINI KILA UZI MNAONGELEA CHAMA HIKI HIKI??
tena tunapoelekea uchaguzi. I can confirm to you ladies and gentlemens , kuwa katika vyama 22 vyenye usajili wa kudumu nchini, vyama 20 vitaungana na CCM kuiadabisha chadema itakayokuwa imegawanyika upande wa ufipa na ile ya Mikocheni.CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
Wahafidhina watamtengaSamia amechoka kutumia pesa na vyombo vya dola kuibeba ccm, anatamani kujiunga chadema apate ridhaa ya wananchi lakini basi tu snashindwa
Mkiendelea kumsema hivi vibaya Rais Magufuli ndiyo mnazidi kupoteaWao ni chama pekee kilicho serious.
Wao ndio pekee wanalalamikia uvunjifu wa katiba.
Wee ulitaka upendeleo apewe lipumba aliyeshiriki kt uvunjifu wa sheria akishirikiana na JPM the devil and evil??
Huna hoja mkuu
Kupendwa ndo nini? Na adabu ndo kitu gani ? Iinapokuja swala la maslai ya taifa upendo huo hatutaki.CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.
CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi kwa mazungumzo. Wao wamemchukulia Rais kama anawaogopa, kumbe aliamua tu kutumia busara.
Nawaambia tu kwamba wamechezea bahati wasidhani kwa sasa wakifanya chochote watasikilizwa hiyo nafasi hairudi tena!
chadema haihitaji kisikilizwa na wauwaji yani chadema iendelee kuungana na wauza bandar, wauwaji wa watu ngorongoro huo utakuwa upumbavu tena chadema iendelee kushikilia hapo hapo mpaka wapumbavu wa ccm na kiongoz wao wapate akili, eti chadema imechezea bahati unaijua chadema wewe alishindwa mbwa wenu dikiteta sembuse mcheza kizmkazi.CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana.