The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
- Thread starter
-
- #21
Hakuna nakataa ,siku zilizo baki ,chadema achana na chopa ,acha amalize kampeni kwa utaratibu huu alionao, mawazo ya chopa NO Alafu mi najua nje ya lissu mgombea mweza kaishafika majimbo mengi ukijumlisha na ya lissu hizo siku kumi watakua wamemaliza majimbo yote,ni kwa sababu tu hatujui ila mwalim na lissu ni kitu kimoja na kaisha fanya kampen ya kufa mtu
Asante..
Kwa hiyo kumbe kuna hofu ya kumdungua akiwa juu siyo?
Kama intelejensia ya chama inaonesha ishara ya hatari, tuendelee na Magari..
Lakini ile jana mgombea Urais - CHADEMA, Tundu Lissu anatoka Kongwa zile gari mbili za polisi (ya nyuma na ya mbele) zinazo escort na ku - clear njia ya mgombea Urais kama sheria inavyoelekeza hazikuwepo...
Hii ikawa ni ishara ya hatari kwa Tundu Lissu. Sijui kamanda wa polisi (RPC) mkoa wa Dodoma na OCD wa wilaya ya Dodoma walikuwa na mpango gani tu? Je, waliweka wakora njiani wasababishe ajali na kumuua Tundu Lissu?
Hatuwezi kujua. Lakini any one can suspect that..