Uchaguzi 2020 CHADEMA, ni wakati mwafaka mgombea Urais Mh. Tundu Lissu kutumia Helicopter kwa siku 10 hizi zilizobaki

Hakuna nakataa ,siku zilizo baki ,chadema achana na chopa ,acha amalize kampeni kwa utaratibu huu alionao, mawazo ya chopa NO Alafu mi najua nje ya lissu mgombea mweza kaishafika majimbo mengi ukijumlisha na ya lissu hizo siku kumi watakua wamemaliza majimbo yote,ni kwa sababu tu hatujui ila mwalim na lissu ni kitu kimoja na kaisha fanya kampen ya kufa mtu

Asante..

Kwa hiyo kumbe kuna hofu ya kumdungua akiwa juu siyo?

Kama intelejensia ya chama inaonesha ishara ya hatari, tuendelee na Magari..

Lakini ile jana mgombea Urais - CHADEMA, Tundu Lissu anatoka Kongwa zile gari mbili za polisi (ya nyuma na ya mbele) zinazo escort na ku - clear njia ya mgombea Urais kama sheria inavyoelekeza hazikuwepo...

Hii ikawa ni ishara ya hatari kwa Tundu Lissu. Sijui kamanda wa polisi (RPC) mkoa wa Dodoma na OCD wa wilaya ya Dodoma walikuwa na mpango gani tu? Je, waliweka wakora njiani wasababishe ajali na kumuua Tundu Lissu?

Hatuwezi kujua. Lakini any one can suspect that..
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA

Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.

Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.

Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea nao wanahitaji kumuona Rais wao.

Watu wanahitaji kupata elimu ya URAIA, SHERIA, HAKI na WAJIBU kutoka kwa kiongozi charismatic huyu.

Tundu Lissu si tu anafanya kampeni za uchaguzi lakini ana isntall ujasiri, kujiamini na matumaini ndani ya nafsi na mioyo ya watu.

Tafadhali tumie Helicopter sasa ili kwa muda huu mfupi uliobaki aweze kuyafukia maeneo yote yaliyobaki. Afike hadi Mafia kisiwani.

Kwa helicopter anaweza kuuchakaza mkoa wote na majimbo yake kwa siku.

Aidha nashauri ifikapo tarehe 25/20 awe amemaliza maeneo yote. Na apate siku 2 za kupumzika na kukagua logistics zote na tarehe 27/10/2020 tukutane mahali pa kufungia kampeni - DSM.

Asanteni
Helikopta walimzuia kutumia
 
Helikopta walimzuia kutumia
Kuzuiwa kwake wakati huo ilikuwa ni kwa kigezo cha "umri wa Rubani kuwa Mkubwa" contrary na matakwa ya sheria..

I thought, hilo lingeweza kurekebishwa mara moja kwa kupata Rubani wa umri unaotakiwa...
 
..baada ya kuzuiliwa kurusha helikopta waka-test kampeni za kutumia magari.

..walichogundua ni kwamba kampeni za magari ni more effective.

..kama wasingefungiwa kwa wiki moja wangeweza kumaliza kampeni vizuri.

..tatizo sasa hivi inabidi walipie zile siku saba walizokuwa wamefungiwa.
 
MKuu tatizo kubw alilipo ni tuma ye Uchaguzi na upangaji wake wa ratiba, hawapo fair kabisa, walipaswa kuwka kipaumbele kwa wagombea wawili wakuu kwanza kabla ya wengine kwenye kupanga ratiba, ila kibaya ni wanalinganisha CDM na Chauma au ADC kwenye kupanga ratiba.
Ofcoz kila mtu anajua kuwa hilo ni tatizo..

Hivyo vyama vingine defenetely, viko pale kimakakati kuisaidia CCM na kupunguza speed na makali ya CHADEMA na Tundu Lissu..

Wanapaswa kukabiliana na hali hii kwa vyovyote vile..

There's no going back. Lazima mapambano yaendelee ktk mazingira haya haya hadi kuufukia ushindi...
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya, Chakushangaza baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu chadema watadai wameibiwa kura.
Kwani serikali ilihamasisha wanaccm pekee au umeishiwaaa akiliiii
 
MKuu tatizo kubw alilipo ni tuma ye Uchaguzi na upangaji wake wa ratiba, hawapo fair kabisa, walipaswa kuwka kipaumbele kwa wagombea wawili wakuu kwanza kabla ya wengine kwenye kupanga ratiba, ila kibaya ni wanalinganisha CDM na Chauma au ADC kwenye kupanga ratiba.
Hii ndo demokrasia mnayoililia kila mkipata keyboard?
 
Mimi nilikuwa mwanaCCM na uongo mbaya hali ilivyo ndani ya CCM ni mbaya na wako desperate wanaweza hata kuidungua hiyo Chopa kwani hawashindwi iwapo walitoka kumuua Lissu akiwa Ardhini huko hewani ndio kazi inakua rahisi

Nashauri Lissu amekula Ng'ombe nzima kamkia ka huko Kusini akamalizie hata kwa Mtumbwi
 
Wakupe soda mm ntalipiaaa
 
Ushauri wako wameusikia, na Leo hii chopa ipo angani
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA

Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.

Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.

Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea nao wanahitaji kumuona Rais wao.

Watu wanahitaji kupata elimu ya URAIA, SHERIA, HAKI na WAJIBU kutoka kwa kiongozi charismatic huyu.

Tundu Lissu si tu anafanya kampeni za uchaguzi lakini ana isntall ujasiri, kujiamini na matumaini ndani ya nafsi na mioyo ya watu.

Tafadhali tumie Helicopter sasa ili kwa muda huu mfupi uliobaki aweze kuyafukia maeneo yote yaliyobaki. Afike hadi Mafia kisiwani.

Kwa helicopter anaweza kuuchakaza mkoa wote na majimbo yake kwa siku.

Aidha nashauri ifikapo tarehe 25/20 awe amemaliza maeneo yote. Na apate siku 2 za kupumzika na kukagua logistics zote na tarehe 27/10/2020 tukutane mahali pa kufungia kampeni - DSM.

Asanteni

Kabla hujamshauri kutumia chopper, mchangie pesa ya kukodisha chopper. Zina gharama hizo. Pia fikiria usalama wa chopper hasa wakati huu. Msijedai kuhujumiwa!
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA

Ni takribani siku 10 tu zimebaki kuhitimisha kampeni. Na trh 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi yenyewe.

Mgombea wetu na Rais anayesubiri kuapishwa, Mh. Tundu Lissu kuna mikoa takribani 7 au 8 hajaifikia.

Aidha kuna viraka vya majimbo ndani ya mikoa aliyokwisha itembelea nao wanahitaji kumuona Rais wao.

Watu wanahitaji kupata elimu ya URAIA, SHERIA, HAKI na WAJIBU kutoka kwa kiongozi charismatic huyu.

Tundu Lissu si tu anafanya kampeni za uchaguzi lakini ana isntall ujasiri, kujiamini na matumaini ndani ya nafsi na mioyo ya watu.

Tafadhali tumie Helicopter sasa ili kwa muda huu mfupi uliobaki aweze kuyafukia maeneo yote yaliyobaki. Afike hadi Mafia kisiwani.

Kwa helicopter anaweza kuuchakaza mkoa wote na majimbo yake kwa siku.

Aidha nashauri ifikapo tarehe 25/20 awe amemaliza maeneo yote. Na apate siku 2 za kupumzika na kukagua logistics zote na tarehe 27/10/2020 tukutane mahali pa kufungia kampeni - DSM.

Asanteni
CHADEMA kwa Siku hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki sishauri kabisa 'Mtani' wangu Tundu Lissu atumie 'Chopper' kwani ya Deo Filikunjombe hayako mbali.
 
Chopa atoe wapi wakati mwenyekiti mwenyewe kamsusa. Chama cha Mbowe cha kipuuzi Sana.
 
Back
Top Bottom