Pre GE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!

Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,

Britanicca
 
Ukishasema Britanicca mi nani nibishe, mzee wa za jikoni kabisa. Lissu anatosha kwa sasa.
 
Kwa kuwa sauti ya aliye nyikani imetoka basi twapaswa kuisikiliza na kuitii bila shuruti.
 
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!

Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,

Britanicca
TUNDU LISSU 2025✌️✌️✌️👊👊👊
Naunga mkono hoja Lissu agombee, na mgombea mwenza atafutwe mwanamke msomi na mwenyekuweza kujenga hoja
TAL atosha
Nafikiri Bw. Tundu Lissu, CHADEMA, pamoja na wanachama wengine wa vyama vya Siasa hususani wapinzani kwa sasa hivi wajikite zaidi Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayokuwa nzuri. Waachane na haya mambo ya kutaka kugombea vyeo, wafikirie suala la kubadilishwa kwa Katiba ya nchi kwanza ndipo masuala mengine yafuatie.

Tundu Lissu anataka kugombea Urais kwa kupitia kwenye Katiba ipi ambayo anafikiri kwamba atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi endapo kama atapata kura nyingi zaidi? Kwa sababu Katiba iliyopo hivi sasa hairuhusu jambo hili kufanyika. TAL Atakuwa anajisumbua nafsi yake bure na kupoteza wakati wake na rasilimali zake bure kabisa. Kwa Katiba hii iliyopo hapa Tanzania hata kama atapata Kura kwa Asilimia 99 ya Kura zote kabisa za Wagombea wa Kiti Cha Urais, KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi kwa kiti Cha Urais. Badala yake Mgombea wa CCM ndiye atakayetangazwa kuwa ni Mshindi.
 
Hakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.
Ungeenda mahakamani ukafungue kesi,kwasababu nchi hii mtu ambaye si raia wa Tanzania,hapaswi kugombea nyadhifa kama ubunge,Urais na nyinginezo.
Bilashaka mamlaka hazijajua kua Lissu si raia wa hii nchi.Nakusihi jumatatu amka asubuhi na mapema nenda kafungue shauri.Hakika wewe ni mzalendo na mwananchi mwenye upeo mkubwa,wa kudadavua mambo,ambayo hata mamlaka za nchi,hazikujua.
Asante sana.
 
Nafikiri Bw. Tundu Lissu, CHADEMA, pamoja na wanachama wengine wa vyama vya Siasa hususani wapinzani kwa sasa hivi wajikite zaidi Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayokuwa nzuri. Waachane na haya mambo ya kutaka kugombea vyeo, wafikirie suala la kubadilishwa kwa Katiba ya nchi kwanza ndipo masuala mengine yafuatie.

Tundu Lissu anataka kugombea Urais kwa kupitia kwenye Katiba ipi ambayo anafikiri kwamba atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi endapo kama atapata kura nyingi zaidi? Kwa sababu Katiba iliyopo hivi sasa hairuhusu jambo hili kufanyika. TAL Atakuwa anajisumbua nafsi yake bure na kupoteza wakati wake na rasilimali zake bure kabisa. Kwa Katiba hii iliyopo hapa Tanzania hata kama atapata Kura kwa Asilimia 99 ya Kura zote kabisa za Wagombea wa Kiti Cha Urais, KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi kwa kiti Cha Urais. Badala yake Mgombea wa CCM ndiye atakayetangazwa kuwa ni Mshindi.
Je Unajua Ipo CCM yaweza toka madarakani hata kwa Katiba hii hii?

Maana hata ukisema itafutwe Katiba Mpya kwanza ndo sasa tuta subiri nayo inakuwa imekaa ki CCM CCM !

Kwakuwa Katiba inaweza kuwa hata nzuri ila wa kuilinda wakawa waoga

Watanzania ni waoga sana kwenye haki zao sijui kwanini !

Watanzania unaweza ukawa Rais ukapitisha Tangazo kwamba tokea leo kila mtanzania Alale saa mbili jion nao wakatii, Bila kuulizwa sababu!

Au akaja Rais akasema hakuna uchaguzi Tena tutakuwa tunachagua raia anapokufa na wakatii,

Watanzania wako serious kwenye masuala ya timu ZAO za Mpira ndo maana akina magoma wana guts za Kwenda kuishtaki Yanga , au wanachama wa SIMBA wako tayari kuandamana timu inapofanya vibaya Ila hawako tayari kuandamana kumwajibisha kiongozi,

Ndo maana nasema Katiba Mpya ni Muhimu ! Je hii iliyopo hao CCM Wanayatimiza yaliyomo?

Britanicca
 
Hakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.
Kutokana na hali halisi mbaya kabisa iliyopo hapa nchini Tanzania kwa Sasa, hata kama atajitokeza mtu Raia wa nchi nyingine yoyote ile hapa duniani ambaye Watanzania tunaamini kwa dhati kabisa kwa 100% kuwa atatufanyia mambo mema, ataweza kuongoza nchi hii vizuri na ataweza kutupatia Katiba ya nchi iliyo nzuri na Bora, basi Watanzania tulio wengi ambao wenye moyo safi na tulio na mapenzi mema na nchi hii hatutakuwa na Pingamizi lolote lile la kumpatia cheo Cha u-Rais mtu huyo. Ni lazima tutampatia kazi ya u-Rais hata kama siyo Raia wa nchi hii.

"Bora Shetani mkweli, mtenda mema na anayetimiza ahadi zake kuliko Malaika ambaye ni Muovu, mhalifu, muongo-muongo na asiyetimiza ahadi."

Aidha, 'tumekuwa tukitendewa mambo mema na wale Watu wanaoitwa kuwa ni WABAYA, lakini pia tumekuwa tufanyiwa mambo mabaya Sana na wale Watu wanaojiita kuwa ni Wazuri na wema.'
 
Sheria za uchaguzi ndio kikwazo cha upinzani kuingia ikulu, jina la mgombea wa upinzani halijawahi kuwa tatizo.
 
Back
Top Bottom