John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Yes, inawezekana kabisa, lakini siyo kwa kupitia chaguzi za kisiasa.Je Unajua Ipo CCM yaweza toka madarakani hata kwa Katiba hii hii?
Tambua kwamba CCM kuendelea kubaki madarakani au kushinda katika Uchaguzi wa Siasa haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.
Kwakuwa Katiba inaweza kuwa hata nzuri ila wa kuilinda wakawa waoga
Watanzania ni waoga sana kwenye haki zao sijui kwanini !