Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!
Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,
Britanicca
Uko sahihi, lakini Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke