britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ukishasema Britanicca mi nani nibishe, mzee wa za jikoni kabisa. Lissu anatosha kwa sasa.Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!
Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,
Britanicca
IjiotHakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.
Mi siyo mpokeaji wa Pesa hivo kama ushahidi upo waulizwe waliopokeabritanicca hizi fedha mlizohongwa huko Zimbabwe mumepeleka wapi
britanicca hizi fedha mlizohongwa huko Zimbabwe mumepeleka wapi
ImbecileHakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa maeneo ambayo hugusa hisia za walio wengi! Lakini Chama chao kitaona nani anwafaa!
Ulikuwa ushauri wangu tu 2025 Lissu anafaa na ataleta changamoto kubwa kwa CCM,
Britanicca
TUNDU LISSU 2025✌️✌️✌️👊👊👊
Naunga mkono hoja Lissu agombee, na mgombea mwenza atafutwe mwanamke msomi na mwenyekuweza kujenga hoja
Nafikiri Bw. Tundu Lissu, CHADEMA, pamoja na wanachama wengine wa vyama vya Siasa hususani wapinzani kwa sasa hivi wajikite zaidi Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayokuwa nzuri. Waachane na haya mambo ya kutaka kugombea vyeo, wafikirie suala la kubadilishwa kwa Katiba ya nchi kwanza ndipo masuala mengine yafuatie.TAL atosha
Ungeenda mahakamani ukafungue kesi,kwasababu nchi hii mtu ambaye si raia wa Tanzania,hapaswi kugombea nyadhifa kama ubunge,Urais na nyinginezo.Hakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.
Je Unajua Ipo CCM yaweza toka madarakani hata kwa Katiba hii hii?Nafikiri Bw. Tundu Lissu, CHADEMA, pamoja na wanachama wengine wa vyama vya Siasa hususani wapinzani kwa sasa hivi wajikite zaidi Kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayokuwa nzuri. Waachane na haya mambo ya kutaka kugombea vyeo, wafikirie suala la kubadilishwa kwa Katiba ya nchi kwanza ndipo masuala mengine yafuatie.
Tundu Lissu anataka kugombea Urais kwa kupitia kwenye Katiba ipi ambayo anafikiri kwamba atatangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi endapo kama atapata kura nyingi zaidi? Kwa sababu Katiba iliyopo hivi sasa hairuhusu jambo hili kufanyika. TAL Atakuwa anajisumbua nafsi yake bure na kupoteza wakati wake na rasilimali zake bure kabisa. Kwa Katiba hii iliyopo hapa Tanzania hata kama atapata Kura kwa Asilimia 99 ya Kura zote kabisa za Wagombea wa Kiti Cha Urais, KAMWE hataweza kutangazwa kuwa ni Mshindi wa Uchaguzi kwa kiti Cha Urais. Badala yake Mgombea wa CCM ndiye atakayetangazwa kuwa ni Mshindi.
Kutokana na hali halisi mbaya kabisa iliyopo hapa nchini Tanzania kwa Sasa, hata kama atajitokeza mtu Raia wa nchi nyingine yoyote ile hapa duniani ambaye Watanzania tunaamini kwa dhati kabisa kwa 100% kuwa atatufanyia mambo mema, ataweza kuongoza nchi hii vizuri na ataweza kutupatia Katiba ya nchi iliyo nzuri na Bora, basi Watanzania tulio wengi ambao wenye moyo safi na tulio na mapenzi mema na nchi hii hatutakuwa na Pingamizi lolote lile la kumpatia cheo Cha u-Rais mtu huyo. Ni lazima tutampatia kazi ya u-Rais hata kama siyo Raia wa nchi hii.Hakuna MTANZANIA atakayechagua kuongozwa na Raia wa Ubelgiji.