CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Uongo mtupu...Cdm hawajahi kuongoza hii nchi, huo uwizi unaowapakazia ni ujinga mtupu.

Halafu wanaoendelea kumtuhumu JPM ni hao hao Ccm wenzako.
Mwambie huyo kifutu wa burigi
 
Uwe na aibu siku zingine. Magufuli na kundi lake wameficha pesa za plea bargain kule China. Halfu Trilioni 1.5 zipo wapi?
Sio kwamba aibu awe nayo aliyekwambia hii habari ambaye ana nyenzo zote na hana nia ya kufanya chochote?

Kipi bora, kukopa au kurudisha zilizoibwa kama kweli zipo?
 
Wewe ni CAG ?
 
Mchafu hachafuliwi, Magufuli alikuwa mjibu, mwizi, katili, muuaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…