Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kaburi pale burigiZilitolewa kujenga nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaburi pale burigiZilitolewa kujenga nini?
Jinga kabisa wewe NdundukaNini hiki?
Mwambie huyo kifutu wa burigiUongo mtupu...Cdm hawajahi kuongoza hii nchi, huo uwizi unaowapakazia ni ujinga mtupu.
Halafu wanaoendelea kumtuhumu JPM ni hao hao Ccm wenzako.
Nenda kapitie hansard ya bungeKama zilivyo ibwa 1.5 trillion za watanzania
Mliiba mali ya ummaInawezekana ndiyo maana imemchoma
Kama unaona wivu mtafute na wewe akuchomeWewe ndiyo umezoea kuchomwa na DAB
Sio kwamba aibu awe nayo aliyekwambia hii habari ambaye ana nyenzo zote na hana nia ya kufanya chochote?Uwe na aibu siku zingine. Magufuli na kundi lake wameficha pesa za plea bargain kule China. Halfu Trilioni 1.5 zipo wapi?
Wewe ni CAG ?Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Wamekuwa wapolee,hata korido za Lumumba wamepigwa stop🤔Hawa chawa sasa hivi hawana tena meno
Mimi mzima wa afya tele,na mwenye furaha kabisa.🤔Unaumwa?
Sawa mkuu!Kisamvu Cha kopo aka mavi katika ubora.
Sindano imekuingia vyema. [emoji382] [emoji382] [emoji382]Sawa mkuu!
Umepata nini baada ya kuniita hivi kama si kuudhihirisha ujinga wako
Unaniuliza mimi? Umeleta hoja bila kua na ushahid wa kuweza kutetea hoja yako? Ngoja VAR ifanye kazi na ilete majibu 👇👇👇👇Zilitolewa kujenga nini?
Mifuasi ya Chadema haina akili.Sawa mkuu!
Umepata nini baada ya kuniita hivi kama si kuudhihirisha ujinga wako
Wewe ni lijingaSindano imekuingia vyema. [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Kama huuUna ushaidi gani
Mchafu hachafuliwi, Magufuli alikuwa mjibu, mwizi, katili, muuaji....Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema. Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.
Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.
Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.