CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

Uongo mtupu...Cdm hawajahi kuongoza hii nchi, huo uwizi unaowapakazia ni ujinga mtupu.

Halafu wanaoendelea kumtuhumu JPM ni hao hao Ccm wenzako.
Mwambie huyo kifutu wa burigi
 
Uwe na aibu siku zingine. Magufuli na kundi lake wameficha pesa za plea bargain kule China. Halfu Trilioni 1.5 zipo wapi?
Sio kwamba aibu awe nayo aliyekwambia hii habari ambaye ana nyenzo zote na hana nia ya kufanya chochote?

Kipi bora, kukopa au kurudisha zilizoibwa kama kweli zipo?
 
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema . Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Wewe ni CAG ?
 
Zilitolewa kujenga nini?
Unaniuliza mimi? Umeleta hoja bila kua na ushahid wa kuweza kutetea hoja yako? Ngoja VAR ifanye kazi na ilete majibu 👇👇👇👇
 
Attachments

  • IMG_20230114_175213.jpg
    IMG_20230114_175213.jpg
    21 KB · Views: 1
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.

Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.

Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema. Mbowe nusra afungwa kwa wizi wa pesa za umma.

Leo wanajidai kuleta uzushi na uongo ili wamchafue hayati.

Chadema mnatwanga maji kwenye kinu.
Mchafu hachafuliwi, Magufuli alikuwa mjibu, mwizi, katili, muuaji....
 
Back
Top Bottom