Ile awamu nakumbuka kuna watu walipigwa mabom arusha na mashumbusi .wa dr. Slaa
Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya siasa yetu kama nchi.
Kukosekana kwa misimamo,chuki na hasira zimekithiri zidi ya siasa za Rais alopita na hata safu yake ya uongozi imeonekana kuwa ni butu hadi kupelekea watu aliowaamini ni dhaifu na hawawezi kwenda pamoja kwenye serikali iliyopo.
Katika kumbukumbu zangu kuna majina mengi yaliondolewa kwenye orodha ya serikali hii ya 6 akiwemo Ndugu Polepole, Bashiru pamoja na wengineo.
CCM imejisahaulisha kuwa imepitia kipindi hicho cha mpito dhidi ya watu hawa ambao waliopenda na kuzoea mfumo uliopita wa Rais Magufuli pia ni dhahiri bado hakuna maelewano mazuri kati ya pande hizo mbili mpaka sasa.
CCM imejisahaulisha Zaidi kwa kuingia makubaliano dhidi ya chama cha upinzani ambacho kilichoharibu sifa za awamu iliyopita kwa kuonekana mbaya kwenye Taifa kuliko awamu zote sababu hiyo tu,inatosha kuwafanya CHADEMA kuungana na CCJ ili kujivika taji la nchi ifikapo mwaka 2030.
Binafsi naona mafanikio makubwa ya CHADEMA kwenye CCJ kuliko CCM hili litadhirika ifikapo 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na 2025 kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa.
Salamu.
timu magufuli tena!!, kama wananguvu team magufuli waanzishe chama lao wachukue dola waangushe liccm tuone,waache kujificha nyuma ya chadema na keyboardMiaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya siasa yetu kama nchi.
Kukosekana kwa misimamo,chuki na hasira zimekithiri zidi ya siasa za Rais alopita na hata safu yake ya uongozi imeonekana kuwa ni butu hadi kupelekea watu aliowaamini ni dhaifu na hawawezi kwenda pamoja kwenye serikali iliyopo.
Katika kumbukumbu zangu kuna majina mengi yaliondolewa kwenye orodha ya serikali hii ya 6 akiwemo Ndugu Polepole, Bashiru pamoja na wengineo.
CCM imejisahaulisha kuwa imepitia kipindi hicho cha mpito dhidi ya watu hawa ambao waliopenda na kuzoea mfumo uliopita wa Rais Magufuli pia ni dhahiri bado hakuna maelewano mazuri kati ya pande hizo mbili mpaka sasa.
CCM imejisahaulisha Zaidi kwa kuingia makubaliano dhidi ya chama cha upinzani ambacho kilichoharibu sifa za awamu iliyopita kwa kuonekana mbaya kwenye Taifa kuliko awamu zote sababu hiyo tu,inatosha kuwafanya CHADEMA kuungana na CCJ ili kujivika taji la nchi ifikapo mwaka 2030.
Binafsi naona mafanikio makubwa ya CHADEMA kwenye CCJ kuliko CCM hili litadhirika ifikapo 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na 2025 kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa.
Salamu.
Sidhani hata kama hao CDM wanahitaji ushirikiano na hao wafuasi wa dhalimu.CDM hawawezi kuunganisha nguvu na JPM remnants hilo halipo wametumika sana kumdhalilisha tena kwa sherehe hapo hakuna mariadhiano.
Wametumika?? Na nani? Tulimkosoa akiwa hai kivipi Leo tulimkosoa ndio iwe tunatumika?? Are you insane?CDM hawawezi kuunganisha nguvu na JPM remnants hilo halipo wametumika sana kumdhalilisha tena kwa sherehe hapo hakuna mariadhiano.
Siyo bali nia, sababu, nguvu na uwezo pia.Mnayo dhamira?
timu magufuli tena!!, kama wananguvu team magufuli waanzishe chama lao wachukue dola waangushe liccm tuone,waache kujificha nyuma ya chadema na keyboard
Let us wait and see.Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya siasa yetu kama nchi.
Kukosekana kwa misimamo,chuki na hasira zimekithiri zidi ya siasa za Rais alopita na hata safu yake ya uongozi imeonekana kuwa ni butu hadi kupelekea watu aliowaamini ni dhaifu na hawawezi kwenda pamoja kwenye serikali iliyopo.
Katika kumbukumbu zangu kuna majina mengi yaliondolewa kwenye orodha ya serikali hii ya 6 akiwemo Ndugu Polepole, Bashiru pamoja na wengineo.
CCM imejisahaulisha kuwa imepitia kipindi hicho cha mpito dhidi ya watu hawa ambao waliopenda na kuzoea mfumo uliopita wa Rais Magufuli pia ni dhahiri bado hakuna maelewano mazuri kati ya pande hizo mbili mpaka sasa.
CCM imejisahaulisha Zaidi kwa kuingia makubaliano dhidi ya chama cha upinzani ambacho kilichoharibu sifa za awamu iliyopita kwa kuonekana mbaya kwenye Taifa kuliko awamu zote sababu hiyo tu,inatosha kuwafanya CHADEMA kuungana na CCJ ili kujivika taji la nchi ifikapo mwaka 2030.
Binafsi naona mafanikio makubwa ya CHADEMA kwenye CCJ kuliko CCM hili litadhirika ifikapo 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na 2025 kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa.
Salamu.
Naona tuweke sanduku kama masikini au kanisani kulichangia taifa kama sadaka
Maana hela zinapigwa na watu wanashangilia tu
Hakuna faida ya kuungana wala nini ni sisi wenyewe tuungane kama nchi na kuwakataa majizi
Kwa hiyo ni bora kujiunga wezi, mafisadi, watetezi wa ushoga na usagaji badala ya kundi lenye uzalendo kwa taifa lao?Nani ajiunge na matekaji na mauwaji labda wapumbavu kama lipumba na cheyo.
Thibitisha kama ulishawahi kumkosoa hadharani na kwa staha, ilikuwa lini na wapi baada ya hapo ukosoaji wako uliitikiwaje? Mtetezi wa majiziWametumika?? Na nani? Tulimkosoa akiwa hai kivipi Leo tulimkosoa ndio iwe tunatumika?? Are you insane?
Tatizo mnataka confrontational politics, ilihali kipindi Cha JPM mlikua mnatoka povu why tunapinga pinga Kila jambo Leo tumekua diplomatic mnasema hatuna vyama!!Mkuu, tuanzie wapi?
Maana nchi sasa "officially" haina vyama vya siasa vya kuaminika yaani "genuine political oppostion parties".
Impacts ya team Mwendazake inaishia 2025 baada ya hapo hawana ChaoMiaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya siasa yetu kama nchi.
Kukosekana kwa misimamo,chuki na hasira zimekithiri zidi ya siasa za Rais alopita na hata safu yake ya uongozi imeonekana kuwa ni butu hadi kupelekea watu aliowaamini ni dhaifu na hawawezi kwenda pamoja kwenye serikali iliyopo.
Katika kumbukumbu zangu kuna majina mengi yaliondolewa kwenye orodha ya serikali hii ya 6 akiwemo Ndugu Polepole, Bashiru pamoja na wengineo.
CCM imejisahaulisha kuwa imepitia kipindi hicho cha mpito dhidi ya watu hawa ambao waliopenda na kuzoea mfumo uliopita wa Rais Magufuli pia ni dhahiri bado hakuna maelewano mazuri kati ya pande hizo mbili mpaka sasa.
CCM imejisahaulisha Zaidi kwa kuingia makubaliano dhidi ya chama cha upinzani ambacho kilichoharibu sifa za awamu iliyopita kwa kuonekana mbaya kwenye Taifa kuliko awamu zote sababu hiyo tu,inatosha kuwafanya CHADEMA kuungana na CCJ ili kujivika taji la nchi ifikapo mwaka 2030.
Binafsi naona mafanikio makubwa ya CHADEMA kwenye CCJ kuliko CCM hili litadhirika ifikapo 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na 2025 kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa.
Salamu.
Ushenzi aliofanya kwenye chaguzi za 2019/2020 ulikuwa mkubwa mno Mungu hawezi kumuacha mshenzi kama yule aendelee kuishi.Aibu ipi?. Yeye kuwatesa CHADEMA kwenye utawala wake ni sahihi?. Punguza unafiki. Yule ibilisi Hana lolote ndio maana hakumaliza hata miezi mitatu awamu ya pili, akafa kwa aibu.
Chadema haiwezi kushirikiana na wanuka damuMiaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.
Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya siasa yetu kama nchi.
Kukosekana kwa misimamo,chuki na hasira zimekithiri zidi ya siasa za Rais alopita na hata safu yake ya uongozi imeonekana kuwa ni butu hadi kupelekea watu aliowaamini ni dhaifu na hawawezi kwenda pamoja kwenye serikali iliyopo.
Katika kumbukumbu zangu kuna majina mengi yaliondolewa kwenye orodha ya serikali hii ya 6 akiwemo Ndugu Polepole, Bashiru pamoja na wengineo.
CCM imejisahaulisha kuwa imepitia kipindi hicho cha mpito dhidi ya watu hawa ambao waliopenda na kuzoea mfumo uliopita wa Rais Magufuli pia ni dhahiri bado hakuna maelewano mazuri kati ya pande hizo mbili mpaka sasa.
CCM imejisahaulisha Zaidi kwa kuingia makubaliano dhidi ya chama cha upinzani ambacho kilichoharibu sifa za awamu iliyopita kwa kuonekana mbaya kwenye Taifa kuliko awamu zote sababu hiyo tu,inatosha kuwafanya CHADEMA kuungana na CCJ ili kujivika taji la nchi ifikapo mwaka 2030.
Binafsi naona mafanikio makubwa ya CHADEMA kwenye CCJ kuliko CCM hili litadhirika ifikapo 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na 2025 kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa.
Salamu.
Duh! Mkuu hadi uchawi humo?Team Maguful au Genge S sio kabisa, ni afadhali CHADEMA kusubiri miaka mingi ujayo kuliko kujiunga na hili genge. Humo ndani kuna ukabila, ukanda, chuki, dhuluma, visasi, wizi, uchawi nk. Hapana.
Acha upumbavu. Magu ana team ipi?Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa.