Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Alikuwa ccm kwa lazima sio kwa utashi wake.
Kwa hiyo alilazimishwa na kuingia kwenye kura za maoni za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCm? Dr. Slaa na Maria je? Wanachama wa CCM ambao makesha nao space.
 
Wengi walivofurahia ushindi wa Lisu sio Kwa sababu Lisu yupo vizuri apana watu walitaka waone makanjanja kama hawa, watu wanaohadaaa wananchi Kwa siasa uchwara, watu wanaofanya uwinga wa kisiasa na wengine wote waliopo kwenye vyama Kwa hila flani
 
FAM amewapiga b kadhaa sasa wanahaha...kazi sanaaaa
 
 

Attachments

  • IMG_1437.jpeg
    169.2 KB · Views: 2
Pole sana hakuna wakumkimbia yule tapeli Lissu!! Very soon atatemeshwa bungo
 
Safari njema. Wamechagua kitu Ile Roho inapenda.
 
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.

Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Sugu ni rahisi sana kuhamia CCM, maana ashakula hela za Abdul
 
Kwa hiyo alilazimishwa na kuingia kwenye kura za maoni za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCm? Dr. Slaa na Maria je? Wanachama wa CCM ambao makesha nao space.
Lisu ni zao la mfumo wa chama kimoja, enzi hizo kujiunga ccm ilikuwa hakuna tofauti na lazima. Slaa ni ccm muda wote, Maria kama ni mwanaccm, basi ni lile jini lililotoka kwenye chupa.
 
Mkuu Lusungo , bado huamini kwamba Tundu Lissu ndiyo Mwenyekiti wako wa Chama Taifa?

Ni kweli anaweza kuwa amehaidi mengi, lakini ndiyo kwanza kufikia leo, anakuwa ametimiza Siku 5 tangu aingie ofisini.

Nashauri, mpeni muda na ushirikiano ili aweze kutimiza maono na ndoto za kukifanya Chadema kuwa Taasisi na sio Mali ya mtu binafsi

Kwa mara ya kwanza tangu kusajiliwa kwake Mwaka 1992, Chadema kimepata Mwenyekiti asiyetoka Kaskazini.

Kwahiyo ile propaganda kwamba Chadema ni Chama cha Wachaga, Tundu Lissu ameivunja rasmi
 
Sio kweli kwamba tangu Chadema kuanzisha haijawahi kuwa na mwenyekiti asiye mchaga. Bob Makani Msukuma amewahi kuwa chairman wa Chadema kabla ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…