Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM hawana pesa kama watu wanavyodhani, nimekuwa UVCCM kwa ngazi ya Mkoa sana sana ni kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa lakini hakuna hela kama watu wanavyodhaniHawawezi kuzoea, option walionayo ni kukaa chini na ccm wapate chochote ndio hiyo kuhama chama
Ndio hiyo wanachofata ni teuzi, wenzao wote maarufu waliohama walikula teuziCCM hawana pesa kama watu wanavyodhani, nimekuwa UVCCM kwa ngazi ya Mkoa sana sana ni kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa lakini hakuna hela kama watu wanavyodhani
Kipi?Peneza kapewa kitengo muhimu Sana Chamani anatembelea V8
Aisee kama wamefikia hiyo stage basi wamefirisika kihojaHoja hiyo imekufa hoja wanayoifanyia kazi kwa sasa ni kuwagombanisha Wakatoliki na Walutheri na madhehebu mengine.
Trump alisema watu wengi waliwa ma**ask na chawa akili zao zinakuwa saa urudi nyuma.Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star
Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star
Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star
Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star
Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA ulikuwa u-Star uliopitiliza kama Zamoyoni Mogella kuhamia Yanga
Lowassa akahitimisha Hama Hama na kurejeshwa CCM na Rostam Aziz akiambiwa kuhama Chama Kwa hasira ni SIASA za Kidwanzi
Nawatakia Dominica NJEMA
Si mpaka uwe na mechanism to access those funds,CCM hawana pesa kama watu wanavyodhani, nimekuwa UVCCM kwa ngazi ya Mkoa sana sana ni kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa lakini hakuna hela kama watu wanavyodhani
Hawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuziNdio hiyo wanachofata ni teuzi, wenzao wote maarufu waliohama walikula teuzi
Inategemea na upepo unaoenda nao, Kama ulijipendekeza mwenyewe basi teuzi utaisikia tu kwa wengineHawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuzi
Na hawa ni watu wa mipasho tu. Sioni hata mmoja mwenye hoja za msingi za kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya watanzania wengi tunayokabiliana nayo. Vyama vimekuwa kama club za mpira, full ushabiki! Tuchambueni hoja siyo mipasho na viojaNyuzi za hovyohovyo kama hizi zimekithiri JF
Mbona Nassari aliacha Ubunge akaenda kuwa DCMsando namfahamu vizuri sn hana mali kama unavyodhani kumshida mtu ambaye amekuwa mbunge kwa miaka 10 + biashara, mbunge akiwa siyo mla rushwa for 5 years hakosi 2B, kwanza anapewa mkopo na hazina 1B nusu anakatwa na nusu analipiwa na bunge, mbunge likivunjwa hakosi 300M, bado vikao, safari, GSM huwezi kumpa hata kuwa Gavana lakini ubunge atakubali sababu ndiyo kuna hela zipo nje nje
Fanya UtafitiKipi?
Nafasi ni chache watu ni wengi sn, lazima utoe rushwa haswa au utumie ushirikina kwa hali ya juu snInategemea na upepo unaoenda nao, Kama ulijipendekeza mwenyewe basi teuzi utaisikia tu kwa wengine
Hao wote walishindwa, Mbowe/Rostam/Nyalandu huwezi kumteua kuwa DC ni nafasi ya chini sn kwaoMbona Nassari aliacha Ubunge akaenda kuwa DC
Nyalandu aliacha Ubunge
Rostam Aziz aliacha Ubunge
Lijualikali alikuwa Mbunge Sasa ni DC
Hata Mbowe anaweza kuwa DC
Usikariri manka 😂
Lucas Mwashambwa unaitwaHawezi kuteuliwa wote, Upendo Peneza mpk amepotea kwenye ramani anasubiri uteuzi, Msigwa jua linazama anasubiri, kumbuka kwenye hizi jumuhia sijui UVCCM, wazazi, UWT(Akina Lucas Mwashambwa) na takataka zingine zote zipo kwenye foleni ya uteuzi
Sahihi amekula shavu ni VEO, yupo busy mbaya snLucas Mwashambwa unaitwa
😁😁😁😁Mkibosho umenena vema.
Ebu tusubirie hiyo tar Feb 5 tuoneNa nje ya chadema ni wepesi mno hakuna mtu atakua na mda nao