CHADEMA Nyomi si Habari Tena, Tujidhatiti kumaliza Mchecho

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:



Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.

Your browser is not able to display this video.


Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM.

Hatutapewa katiba mpya mezani.

2 Wafalme 7:6 inasema:

"Kishindo cha wakoma kiliwakimbiza washami"
 
Hawa watu walizuiwa mkutano...
Hawakuwa na ruzuku...
Walitishwa na kuteswa ila bado wana nguvu

Haipo katiba mpya bila maumivu. Muda wa kufanya tathmini ni huu.
 
Tumeshavuka mstari wa kimbunga sasa twende hatua nyinginre
 
Mungu kibariki hiki chama kilichomo mioyoni mwa wapenda haki maendeleo na utu... Viva CHADEMA!
 
Vijijini burudani na vichekesho ni ngumu kupata, ndio maana watu hujaa, hawajai kwa sababu ya itikadi
 
Vijijini burudani na vichekesho ni ngumu kupata, ndio maana watu hujaa, hawajai kwa sababu ya itikadi

Mmeshauriwa nanyi kuitisha mtest mitambo. Kuna mwenzenu aliitisha hatukupata mrejesho ila huu:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…