CHADEMA: Odinga ameibiwa kura

Weka source hapa acha kutufanya kama tupo karne ya 10. Ungeweka link sio maneno yako ya mdomo mchafu... Taifa litaangamizwa ma vijana wa sampuli yako
 
Ok, umekuja vzuri..!!!utatuambia Ben Saanane nani alimuua...??? **mbavu zako...!!!huu ni ushahidi tosha subr....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zile computer zao walisema watazielekeza kwenye dishi la Tanzania Na zingine watazielekeza kwenye satellite ya ujerumani ili wapate kuhesabu kura vizuri zimefeli
 
Chadema walitoa ufafanuzi kwa nini wamemuunga mkono Uhuru n hoja ilikuwa uchaguzi wa Tz 2015 Odinga hawajawaunga mkono Chadema
 
Naona ushambatiza marehemu wakati hata hujui kama amekufa ama la. Sasa una tofauti gani na huyo unomkejeli.
 
Naona ushambatiza marehemu wakati hata hujui kama amekufa ama la. Sasa una tofauti gani na huyo unomkejeli.

kama hajafa yupo wapi? kunamamgereza yoyote au kituo chochote cha polisi yupo? au kwa kutumiahati zake za kusafiria je kuna nchi yoyote inaonyesha marehem Ben saanane aliingia? acha kujitoa ufaham.
 
Hivi mmiliki wa hili gazeti la Sauti Huru ni nani? Na mhariri ni wa hili gazeti ni nani? Anayefahamu tafadhali!
 
Your days are numbered endelea..!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahaha i know that, tashkuru saana kama utanisaidia kwahilo send me home please come and kill me now, nimejaribu kujiua zaidi ya mara 5 nimeshindwa kama utaweza kuniua tashkuru saana, give me my freedom from everything, njaa, kiu, u snitch wenu na mabaya yote ya dunia hii, just tell me when and where takuja mwenyewe uniuwe.
asante sana mkuu
 
Nyumbu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…