iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 762
- 446
Weka source hapa acha kutufanya kama tupo karne ya 10. Ungeweka link sio maneno yako ya mdomo mchafu... Taifa litaangamizwa ma vijana wa sampuli yakoGAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!
Nini madhara ya kauli hii ya CHADEMA katika nyanja za kidiplomasia?
je CHADEMA kinatuma salamu gani kwa wWakenya waLIODECIDE kumpa kura za kishindo bwana Uhuru Kenyatta