Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia.
Ukweli ni kwamba raia wanaharaki wa Tanzania katika demokrasia sio hata wapambanaji mfano kama wa Zimbabwe, Ethiopia, Misri, Cuba, Venezuela n.k Sasa fikiria kama huko kote tena pamoja na pressure kubwa sana ya magharibi kwa miongo mingi demokrasia imebaki ndoto je hapa bongo itawezekanaje tena bila hiyo presha au wakati US na Ulaya wamepuuza kwa kiwango kikubwa sana sheria za kimataifa na demokrasia wakiwa wameiweka dawati la mwisho kabisa!
Ukiangalia historia utaona pia Africa nchi zilizojipata kidogo kidemokrasia Waanzilishi wake(founders) ndio walijitahidi kuacha huo msingi na pia kusambaratika kwa vyama tawala vilivyoleta uhuru ilitoa fursa nyingine, hapa kwetu hatujawa na bahati hizo zote mbili.