CHADEMA, pamoja na mikutano yenu, Tanzania itafaidika nini?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Chadema-mikutano.jpg

Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele. Kila mnenaji anaweza ongea hadi sauti ikamkauka.

Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi.

Hili swali nawauliza kila siku, mtakuwaje mbadala wa CCM?
 
Kutoa elimu kuhusu katiba mpya na faida yake kwa watanzania. .

Ila sishangai wanasiasa ni wqchumuq matumbo hakuna siasq za kwel
 
View attachment 2527742
Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele.
Kila mnenaji anaweza ongea hadi ssuti ikamkauka.

Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi.

Hili swali nawauliza kila siku, mtakuwaje mbadala wa CCM?
Kama umevurugika hivi tuliaaa

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2527742
Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele.
Kila mnenaji anaweza ongea hadi ssuti ikamkauka.

Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi.

Hili swali nawauliza kila siku, mtakuwaje mbadala wa CCM?
Acha kuwa mjinga wewe.
 
Tunawaombeni miaka 5 tu tuwaonyeshe maana ya uongozi
 
Fuatilia mikutano yao utapata jibu la swali lako
 
Hilo ni genge la CCM. Hata wakichaguliwa hawataleta impact yoyote. Ki ufupi tu, bado hakuna chama chenye nia ya dhati ya kuonyesha leadership katika kutatua matatizo mengi ya watanzania.Zaidi sana watawania ubunge kuvizia mil 272 za kiinua mgongo.
 
Tusubiri wakati mwingine
 
Bila kutuahidi mtakayotufanyia, itakuwa sawa na kununua mbuzi kwenye kiroba.
Unafugua kiroba unakuta mbwa.

..wameahidi kupunguza umasikini na kuwaletea maisha bora Watanzania wote.

..Na wamesema hilo litawezekana kwa kuwa na vipaumbele sahihi, kuondoa matumizi ya anasa kwa serikali na viongozi, na kuhakikisha wananchi wanafaidika na rasilimali zinazowazunguka.

..Pia kuwa na uongozi unaowajibika kwa wananchi kwa maana viongozi wachaguliwe badala ya kuwa na utitiri wa wateule wa Raisi.
 
Hakuna Chama mbadala kuitoa CCM.
Chadema sijui nisemeje wale ruzuku tu ila kushika hatamu nchi hii ni hamna kitu.
 
Tunawaombeni miaka 5 tu tuwaonyeshe maana ya uongozi
Naona wamekubaliana kusema hivi, kila mtuanasema tupeni miaka mitano tu!!! YAANI WANATAKA TUONJE SUMU. NAJIULIZA MTU KAMA TUNDULISSU AWE RAIS MIAKA YOTE MITANO SI ATACHOTA MAKANIKIA YOTE. HUKU AKIWA NA JESHI CHINI YA HECHE AU SUGU KWA MIAKA 5, KWELI ATAACHIA NGAZI ALISHINDWA? NA HAYO MAKANIKI ALIYOIBA NI NANI ATAYAREJESHA HUKU NYERERE NA MAGUFULI WALISHAUDEDI?
 
Tunawaombeni miaka 5 tu tuwaonyeshe maana ya uongozi
Huwezi kuongiza mtu yeyote kama huna sera zilizowekwa wazi.
Tatizo viongizi wa CHADEMA wansutaka uongizi ili "wale".
Tazzma walioingia bungeni miaka ya nyuma, wote wamejibufsisha kibinafsi tu.
 
CHADEMA sasa ni kama kuku aliyefungwa kamaba miguuni muda mrefu.
Akifunguliwa kmaba hawezi kutembea.
Matamshi ya Lema kuwa bodaboda si kazi bai ni laana , si kielelezo cha kuku aliyefunguliwa kamaba.
CHADEMA mkae chini na bado mtaulizwa na wananchi, mna sera gani za kuwaendeleza watanzania?
 
Back
Top Bottom