Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele. Kila mnenaji anaweza ongea hadi sauti ikamkauka.
Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi.
Hili swali nawauliza kila siku, mtakuwaje mbadala wa CCM?