Pre GE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCm wamegawa pikipiki mkoa mmoja tuu wanaanza kulialia ety mama amepata wapi pesa za kugawa pikipiki mikoa yote ya Tanzania, yani utadhani wao wamepigwa marufuku kutumia pesa zao kuwapa wananchi.
Jee uwezo wa kupata hizo pesa upo?? Watanzania wa kuichangia CHADEMA fedha za maana ni wachache Sana na wao pia wanachanga kwa siri kubwa mno.
 
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.

Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.

Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.

Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.

Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.

Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.

Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.

Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.

Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.

Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.

Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.

Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.

Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Hata Rome haikujengwa siku moja, mdogo mdogo, kama ANC, wameungana na-MAKABURU, basi CCM bd kidogo tu...
 
CCM wataondoka madarakani kwa mtutu wa bunduki. Hizi hizi bunduki na majeshi wanayotumia kukandamiza upinzani na kuiba kura ndiyo hizo hizo zitakuja kuwageukia. Kwa vile hawataki kuondoka kwa amani kupitia kura basi wataondoka kwa shari na uwagaji wa damu.
 
Wanaweza ila shida ipo kwanini wanakwama .
1. Wanawasifia ccm
2. Wapo kindaki ndaki na ccm
3.wa wanawapigia debe ccm ili waishi
Hawana backup plan so wakizingua wanafunzwa adabu sasa huoni ccm ndio chama hapa nchini .
Bibi dada umeongea point kubwa sana
 
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.

Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.

Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.

Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.

Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.

Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.

Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.

Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.

Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.

Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.

Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.

Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.

Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Baba wa taifa alitengeneza na kuacha kayiba ambayo inatumiea na maccm kubali madakani kwa Hila na uongo.
Inampa madaraka makubwa mwenyekiti wa ccm kuhodhi Kila njia ya kisasa kiuchumi na kidemokrasia
Ni katiba mbovu sana

Inampa nguvu raisi kuwatisha wananchi wasishiriki siasa Lea uhuru
Kwa kutumia vyombo vya dola

Wana masesa wahonga fedha au cheo Kila wanayedhani ni mpinzani au arakuwa mpinzani wao
Ukiwakataa hongo wakuua

Kweli tunahiji uasi wa wananchi kwa Nia njema ya kuwatos Hawa madarakani mafisadi
 
Katiba ya Tanzania rais akishaingia madarakani hana tofauti na aliyepindua Nchi.

Anakuwa sawa na Kagame au M7 tu
 
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.

Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.

Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.

Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.

Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.

Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.

Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.

Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.

Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.

Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.

Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.

Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.

Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
🙋‍♂️📝✍️👍👌👏👊🤝🙏💐🎁🗼🎖️🏆🛡️👑
 
Kwa akili hizi ikulu mtaisikia kwenye bomba!
Na akili hizo zenu mkig'ang'ania madaraka mtaendelea kuwafanya warz masikini

Unafikiri Kila mtamzania mzalendo anayepost Habari njema hapa jf ni mwanasiasa?
Wengine ni tuna shughuli zetu halali hatuna mfungamano na siasa
 
Sina ushabiki wa vyama vya siasa ila upinzani bado sana kupambana na ccm.

Ili kupambana nao ni kwenda jino Kwa jino nao ila sasa upinzani kazi yao ni kulalamika tuu kwenye kila jambo analofanya ccm.
Mkuu mabadiliko huanza na wewe, bila hivyo na wewe ni wale wale ambao wanataka wafanyiwe wao halafu wafaidi bwerere!!!

Hukuona walichofanyiwa na Mwendazake walivyoenda bampa to bampa na CCM??? Umesahau Ukawa??? Mara hii hukumbuki ukuta???

Umesahau madhila na mateso ya kila aina waliyoambulia toka kipindi cha JK na JPM??? Jino kwa jino unataka waasi???

Maandamano tu ilikuwa nongwa hadi watu kuuwawa je uasi itakuwaje??? Au jino kwa jino ipi unayo zungumzia???

Mkuu hawa wapinzani ni watanzania sio aliens, nao ni binadamu jamani!!! Wakisema mnasema ni wababaishaji, wakikaa kimya mnasema hawafanyi chochote!!!

Mkuu ukweli usemwe sisi tusiokuwa na upande tumefanya nini cha kuonyesha??? Tuache upopo!!!

Hakika huwa naamini ile kauli ya Kenyatta kwa Nyerere kuhusu aina ya watu aliokuwa anawaongoza!!

Tena akina sisi misomi sasa, ndio hatufai hata kidogo!!!! Tunatumia mitumbo yetu kufikiri, kama tunabisha tuonyeshe tumefanya nini hapa!!! Tusimane tuhesabiwe!!!
 
Back
Top Bottom