4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hujui dunia wewe ,chadema mpaka mda huu haitaji jiunga na chama chochote, mavyama yote ni mamluki wa ccm bora chauma kuliko mavyama mengine, mpaka sasa ccm sio lolote na sio tishio kwa chadema , chadema yenyewe inatosha hiondosha ccm saa 4 hasubui .Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.
Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.
Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.
Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.
Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.
Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.
Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.
Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.
Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.
Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.
Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Vyama mamluki vimeanza kuisogelea chadema kwa maneno matam sijui kwa kutumwa na mabwana zao ccm au la ,maana wale waliona ona katiba mpya sio kipaumbele , sasa ndo wanakuja na maneno ya katiba mpya,
Chadema msiingie mtego huu, ccm nyepesi sana