Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Jee uwezo wa kupata hizo pesa upo?? Watanzania wa kuichangia CHADEMA fedha za maana ni wachache Sana na wao pia wanachanga kwa siri kubwa mno.CCm wamegawa pikipiki mkoa mmoja tuu wanaanza kulialia ety mama amepata wapi pesa za kugawa pikipiki mikoa yote ya Tanzania, yani utadhani wao wamepigwa marufuku kutumia pesa zao kuwapa wananchi.
Hata Rome haikujengwa siku moja, mdogo mdogo, kama ANC, wameungana na-MAKABURU, basi CCM bd kidogo tu...Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.
Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.
Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.
Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.
Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.
Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.
Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.
Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.
Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.
Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.
Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Wanashindwa kutoa hata pilau kama yule wa chauma πJee uwezo wa kupata hizo pesa upo?? Watanzania wa kuichangia CHADEMA fedha za maana ni wachache Sana na wao pia wanachanga kwa siri kubwa mno.
CCM mbele kwa mbeleeeee....!Kabisa.
Chagua wimbo...ππππ
Bibi dada umeongea point kubwa sanaWanaweza ila shida ipo kwanini wanakwama .
1. Wanawasifia ccm
2. Wapo kindaki ndaki na ccm
3.wa wanawapigia debe ccm ili waishi
Hawana backup plan so wakizingua wanafunzwa adabu sasa huoni ccm ndio chama hapa nchini .
Baba wa taifa alitengeneza na kuacha kayiba ambayo inatumiea na maccm kubali madakani kwa Hila na uongo.Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.
Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.
Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.
Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.
Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.
Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.
Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.
Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.
Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.
Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.
Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Kuhamasisha wanyonge kukataa tozo za kipumbavu na kukataa kupanda kwa bei ya sukari kutoka sh 2500 hadi sh 6000,Dhumuni kuu la huu uzi nini?
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.
Katiba ya Tanzania rais akishaingia madarakani hana tofauti na aliyepindua Nchi.Baba wa taifa alitengeneza na kuacha kayiba ambayo inatumiea na maccm kubali madakani kwa Hila na uongo.
Inampa madaraka makubwa mwenyekiti wa ccm kuhodhi Kila njia ya kisasa kiuchumi na kidemokrasia
Ni katiba mbovu sana
Inampa nguvu raisi kuwatisha wananchi wasishiriki siasa Lea uhuru
Kwa kutumia vyombo vya dola
Wana masesa wahonga fedha au cheo Kila wanayedhani ni mpinzani au arakuwa mpinzani wao
Ukiwakataa hongo wakuua
Kweli tunahiji uasi wa wananchi kwa Nia njema ya kuwatos Hawa madarakani mafisadi
Pesa za serikali kwa mgongo wa chama, nyie chawa sijui mna akili ganiCCm wamegawa pikipiki mkoa mmoja tuu wanaanza kulialia ety mama amepata wapi pesa za kugawa pikipiki mikoa yote ya Tanzania, yani utadhani wao wamepigwa marufuku kutumia pesa zao kuwapa wananchi.
Kwenye kura ccm tulishamalizana nao.Kwani huwa wanashinda kwa kura halali au vinginevyo. ??
Wanyonge ni watu wa aina gani!Kuhamasisha wanyonge kukataa tozo za kipumbavu na kukataa kupanda kwa bei ya sukari kutoka sh 2500 hadi sh 6000,
Kumbe Ikulu ma wapambe wanakula Cha juu sh 200 Kila kilo- by mpina
Kwenye kutangazwa Je ???π³Kwenye kura ccm tulishamalizana nao.
No watu wenye kipara kipyaWanyonge ni watu wa aina gani!
πββοΈπβοΈπππππ€ππππΌποΈππ‘οΈπKwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM ikiwemo.
Baada ya CHADEMA kwa ubora, inafuatia CCM na vyama vingine kama vile ACT na vinginevyo viko kwenye fungu (bundle) moja.
Lakini kuitoa CCM madarakani pamoja na udhaifu wake,inataka jamii ya watanzania kwa uhalaiki wake ( amassed) kujua nini kifanyike ili kuitoa CCM madarakani.
Kuishutumu CCM kwa uovu wake ni jambo la zamani kwa sasa. Kati ya watanzania 100 watanzania 60 wanaujua uovu wa CCM kwa undani sana.
Hakuna asiyejua kuwa CCM ndiyo inaifilisi nchi hii. Watanzania wote wanajua maisha yao yanaharibiwa na CCM kuwepo madarakani.
Lakini asilimia tisini (90%) ya watanzania hawapo tayari kushiriki kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.
Watanzania wengi wanadhani kazi ya kuitoa CCM madarakani ni ya CHADEMA peke yao.
Kila siku wanalaumiwa ni kwa nini hawaitoi CCM madarakani. Cha kushangaza watu wengi wanaogopa kuiudhi CCM.
Huwezi kuta wafanyakazi Serikalini, wafanyabiashara, wakulima na watu wa kawaida wakipambana hadharani na CCM.
Kwa mazingira haya huwezi tarajia CHADEMA peke yao kuitoa CCM madarakani.
Kutegemea CHADEMA peke yake kuitoa CCM madarakani, ni kutarajia muujiza.
Mkuu here is, just like the one mentioned above!There is no political solution for CCM
Kwa akili hizi ikulu mtaisikia kwenye bomba!No watu wenye kipara kipya
Na akili hizo zenu mkig'ang'ania madaraka mtaendelea kuwafanya warz masikiniKwa akili hizi ikulu mtaisikia kwenye bomba!
Mkuu mabadiliko huanza na wewe, bila hivyo na wewe ni wale wale ambao wanataka wafanyiwe wao halafu wafaidi bwerere!!!Sina ushabiki wa vyama vya siasa ila upinzani bado sana kupambana na ccm.
Ili kupambana nao ni kwenda jino Kwa jino nao ila sasa upinzani kazi yao ni kulalamika tuu kwenye kila jambo analofanya ccm.